figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,484
DODOMA: Kamati Maadili ya Bunge imewahoji, Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee kama Spika alivyoagiza.
ashugulikiwe ipasavyoMhe Mbowe akohojiwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge.
Hahahaha, haya maneno yako kiboko walahi!Mwenyekiti wa chama cha democracy na maendeleo lakini akiwa ndani ya chama hakuna democracy bali kuna mawazo yake na wanachama ni rubber stamp ya maamuzi yake
Mbona wahuni wengi hata marais ni wahuni!Mwenyekiti wa chama unakuwa muhuni muhuni!!
Anawafundisha nini waliochini yake?
Kwa mwenyekiti huyu acha ccm itawale miaka 1000+
Tusubiri hukumu kutoka juu. Maana wanaweza wakapaniki wakajihisi ni mahakama na kutoa hukumu kama ya lemaSpika ana jazba la ugonjwa wake anamalizia hasira kwa wabunge
Waliolewa madaraka ni wengi mno ndugu yangu.Hata spika naye anapaswa kuhojiwa...