Kijana unamwambia aondoke akapange, hiyo fedha ya kupanga atapata wapi? yeye mwenyewe anawaza kuwa na godoro wakati hana fedha! tafuta wazo la biashara itakayokuingizia kipato wakati uko hapo,bana matumizi na mambo mengine yapangiliwe kwa umakini wa hali ya juu. Maisha ni safari ndefu
Ebu tuanze kufikiria upya hili tendo la kujamiana (Sex). wakati mwingine napata shida mtu anapofikiria kwamba mwanamke ni kama gari. eti ametumika sana!!! 'mileage?' au mwanaume si rikizi?. upande wa pili wa wanyama(nasisi tu wanyama) kama Paka au simba kuna kaustarabu fulani.
Elimu ya kiumbe binadamu huanzia nyumbani. Mama ndiye mwalimu wa kwanza wa kiumbe huyu. Na sisi tunaoona tulisoma vizuri, kizazi hiki kinatutegemea tutatoa uzao wa wanaosoma vizuri, Mbona tunataka kuanzia kusikojulikana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.