Niliyoyakuta na ninayoyaona uraiani bora nirudi tu chuoni nilikotoka

Kijana unamwambia aondoke akapange, hiyo fedha ya kupanga atapata wapi? yeye mwenyewe anawaza kuwa na godoro wakati hana fedha! tafuta wazo la biashara itakayokuingizia kipato wakati uko hapo,bana matumizi na mambo mengine yapangiliwe kwa umakini wa hali ya juu. Maisha ni safari ndefu
 
Ni kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijiuliza kwanini wazee waliostaafu huko Japan wanafanya kila njia ili waende jela ndio utajua dunia hii kuna mambo

Japan suala la wizi ni very serious na wanalichukia sana
Wazee wanaiba makusudi na kama watu wakiwa ignore (kutokuamini kuwa anaiba)
Wanaenda polisi kabisa na kusema nimeiba hiki, hapo anafungwa ili akale bure huko

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ni mwezi wa 6 sasa Toka nimalize chuo mwaka wa 3 mnamo mwaka Jana mwezi wa 8.

Pigo la kwanza nilinunua ngurue ili nifugiwe nyumbani kwa lengo kwamba nikirudi nije kuwauza nije fanya biashara.

Nimerudi nimekuta ngurue wote wa3 wameuzwa na niliahidiwa Kua nitalipwa pesa.. Nimekopwa Toka mwaka Jana nimerudi kutoka chuo sijapewa.

Nikiuliza naambiwa ooh sisi ndo tumekusomesha tulia dogo. Sio hilo tu nilijibana nikiwa chuoni nikaja kuuanzisha biashara ndogo tu.. Lakini licha ya biashara Kua ngumu mtu anachukua bidhaa bila kulipa ukiuliza eti sisi ndo tumekusomesha tulia.

Kila nikitia jitihada kadhaa kujishugulisha nahisi naumia tu for nothing. Wakuu naomba kuuliza hata nyie mliosomeshwa mnakumbana na changamoto kama hizi? Je mnazikabili vipi? Aisee bora tu nirudi chuoni sio kwa maumivu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
All the time. To be successful surround yourself with people who have a success mindset. Ondoka hapo kafanye mambo yako pengine. Hao watakurudisha nyuma
 
Ni mwezi wa 6 sasa Toka nimalize chuo mwaka wa 3 mnamo mwaka Jana mwezi wa 8.

Pigo la kwanza nilinunua ngurue ili nifugiwe nyumbani kwa lengo kwamba nikirudi nije kuwauza nije fanya biashara.

Nimerudi nimekuta ngurue wote wa3 wameuzwa na niliahidiwa Kua nitalipwa pesa.. Nimekopwa Toka mwaka Jana nimerudi kutoka chuo sijapewa.

Nikiuliza naambiwa ooh sisi ndo tumekusomesha tulia dogo. Sio hilo tu nilijibana nikiwa chuoni nikaja kuuanzisha biashara ndogo tu.. Lakini licha ya biashara Kua ngumu mtu anachukua bidhaa bila kulipa ukiuliza eti sisi ndo tumekusomesha tulia.

Kila nikitia jitihada kadhaa kujishugulisha nahisi naumia tu for nothing. Wakuu naomba kuuliza hata nyie mliosomeshwa mnakumbana na changamoto kama hizi? Je mnazikabili vipi? Aisee bora tu nirudi chuoni sio kwa maumivu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
safiii
 
Acha udwanzi dogo kwani hao waliokuwa wanakusomesha pesa walikuwa wanaokota? Leo unasema bora urudi chuo keshi utasema bora ungezaliwa Manzi..mtaani wote maninja usika kiree..kaa kimachale
 
Tatizo Si Dada Yako Au Ndugu Zako! Tatizo Ni Wewe Mwenyewe,, Why Do You Fault Others? You Have Yourself To Blame,, Act Quickly ,and Boldly.There Are Very Few Things That Correct Themselves ,without You Doing Something,. " Endurance Has Got No Marks, You Need To Know What You Are Doing Lest You Might Endup Blowing Everything" , Jitegemee Utafanikiwa,
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom