Mimi niliagiza IPad Mini 4. Toka mwezi August mwaka huu hadi. Leo. Nimesumbuana nao sana.kwanza wa poor customer care. Ndio wamenijibu wananifanyia utaratibu wa kunicompasate pesa yangu baada ya siku14 zijazo. Sio poa kabisa hawa jamaa
Kiukweli kwa muda wa siku tatu sasa eneo la chalinze KING'AMUZI cha Azam limekuwa na hakionyeshi station nyingine zaidi ya Tbc 1. Na nimelipia Kina wiki sasa. Naomba kwa wahusika Kama mtapita hapa basi mjaribu kutujuza Shida ni nini???
Habari wanajamvi, ninaomba kwa mtu yeyote mwenye utaalamu au uzoefu katika biashara ya kununua na kuuza chuma chakavu kwa Dar es salaam na Pwani. Vitu vya msingi zaidi ninavyotarajia kupata kwenu ni upatikanaji wa bidhaa yenyewe,bei za kuuza na kununua. Hasara yake ni ipi,na faida ni ipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.