Biashara ya kukusanya vyuma chakavu (Scraper)

Biashara ya kukusanya vyuma chakavu (Scraper)

ndama1285

New Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Habari wanajamvi, ninaomba kwa mtu yeyote mwenye utaalamu au uzoefu katika biashara ya kununua na kuuza chuma chakavu kwa Dar es salaam na Pwani. Vitu vya msingi zaidi ninavyotarajia kupata kwenu ni upatikanaji wa bidhaa yenyewe,bei za kuuza na kununua. Hasara yake ni ipi,na faida ni ipi. Ninamtaji wa 15Milioni. Nashukuru na ninawasilisha kwenu. Asanteni
 
Nunua kila kitu
Chuma
Casti
Kopa
Alminium
Pvc pipe zile
Plastic ngumu
Machupa ya maji
Kompresa za freji mbovu
Betri za gari mbovu .

Bei hubadilika kulingana na mchina or mnunuz ila wachina ndo sana
Mateja ndo watu wako wazuri sana wathamini watakuletea mali japo ukomae nao sometime yes Sometime no.
Hasara ni pale ukinunua mali yenye uchafu mwingi, koz unakoenda kuuza wanakata % ya uchafu kwenye mzigo.
Faida ni safi sana ukiwa na uhakika wa kupata mizigo ya kutosha. Na umenunua sh ngap na umeuza Kwa sh ngap .
 
M15? Zamia tu ulaya,baada miaka kumi tunakusahau
 
Uko wapi? Ni biashara nzuri sana nicheki nikuonganishe na mtu
 
Back
Top Bottom