Recent content by Ndalwa

  1. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Lema: Shukrani Bank ya TIB Kutoa Bilioni 16 Kujenga Soko la Kisasa la Machinga Arusha

    Mwanadiwani Macolopo!
  2. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya BROOKSIDE yana sumu?

    Duuuu!!!....
  3. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Wabunge 150 wa CCM wajitosa kumuunga mkono Lowassa

    Rais ajae ni Dr W Slaa, deadly!!! Hizo cinema zenu za Lumumba hazituhusu.
  4. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania King Mswati kwa mara nyingine

    #Mhhhhh yaani we acha tu....,
  5. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

    Mimi linijua tu hapo kuna ufisadi mkubwa sana,hawa ccm mda wa kuwawajibisha ni huu make tunaona kwa macho,wameshajua kuwa mda wao wa kukaa madarakani ni mfupi sana ndiyo maana wanafanya wizi wa kufa mtu kama huo,du jamaaani ccm,mgao wa $500 milion wakati hospitali ziko hoi,Shule hazina...
  6. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Meno ya Tembo tena: Kenya wamekamata Meno ya Tembo 638, ya Sh. Bilion 2 toka Tanzania!

    Huyo lazima ni Katibu Mkuu wa Magamba,make siku hizi amekuwa mwoga sana hata huongea na jamii Roho inamsuta kwa kuwaibia mali zao si unajua yeye hanauchungu nazo make siyo Mzawa wa Tanzania..
  7. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini

    naomba chadema wafanye mikutano Mtwara na kuwaelewesha vyema wanamtwara ili wasiogope vitisho vya ccm.siyo kweli kuwa mtwara hawataki gas itumike na wengine isipokuwa usindikaji ufanyike mtwara,nilimsikia Nape kwenye mikasi akisema kuwa wakati mwingine inabidi kuwapa uongo wananchi kama...
  8. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Kamanda mawazo kuongoza moto wa m4c igoma-mwanza 2/1/2013 .

    Kamanda mimi ni wa palepale Kisesa,vipi huyu Andrew Nkumbi anaweza kumshauri mtu mmoja pale anaitwa Dr Laurian Lukona akajiunga na wapiganaji namkubali sana huyu jamaa.asante sana msilanga.
  9. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ndani ya WAPO FM 98.1

    Duuuu,CCM mnaogopa sana watu wanaorudisha kadi mnajua warudisha kadi wengi wao ni ccm,na mtu akirudisha kadi ya ccm siyo rahisi kuturn back tena ccm,tutaendelea kuwahimiza watu wazirudishe hizo kadi kwa wingi na kuzichoma.
  10. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Pasco wa JF naomba nikuulize

    Pasco siku zote hueleweki points zako,Hunaga msimamo wowote siku zote.
  11. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    Chakula mpaka monduli,viongozi wote waandamizi wa chama,du hapo lazima kunakitu
  12. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.

    Unajichanganya sana kaka pasco,mara hivi mara vile wala hata hueleweki kabisa nini unamaanisha hapo.siku hizi na wewe Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.
  13. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

    Ovyoooooooooo.
  14. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Christian Democratic Parties

    Jakaya kikwete.....Mwislam Philipo mangula....MKRISTO Abdulahiman kinana.Mwislam Mwigulu nchemba....Mwislam Asha Rose migiro...Mwislam Nape Mnauye........Mwislam Do Mimi napita tu.
  15. Ndalwa

    JamiiForums Tanzania Chris Lukosi aelezea sababu zilizomfanya arudi CCM

    cameroon amekuharibu wewe,umejiona huko nyuma?
Back
Top Bottom