Aisee, taaaabu kwelikweli.Unadhani unaongea vitu vya maaana! Wewe ni mmoja kati ya wazazi wanaozuia watoto kwenda shule kwamba watafundishewa ukristu, halafu mwisho wa siku unalalamika kwa nini nafasi nyingi za ajira zinachukuliwa na wakristu. Unapoponda kuwa na takwimu za elimu (kusoma na...
R. Fundi
Cha msingi hapa ni kuelewa maana ya 120km/hr, ni kwamba kila baada ya saa moja kupita gari au pikipiki au kitu chochote kile kinakuwa kimekwenda umbali wa kilometa 120. Haijalishi kama matairi ni madogo kiasi kwamba inabidi yazunguke kwa kasi zaidi ya chombo chenye matairi makubwa...
Bw. Panadol umepitwa na wakati! Huo uongo wako ulikuwa ukitumiwa na CCM kuanzia 1993 pindi vyama vingi vilipoanzishwa kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi 1995, kwamba wapinzani hawafai ni waongo na wataleta vita. CCM wameachana na lugha hizo za kitapeli baada ya kubaini watu wa leo...
Nashauri Serikali yetu tukufu iwashauri waislamu watumie chombo chao kinachotambulika kisheria kama BAKWATA kufanya sensa kwa waumini wao ili takwimu hizo zisaidie kwenye mipango mbalimbali ya kuendeleza uislamu. Naipongeza pia Serikali kwa maamuzi yake ya kutokukubali mambo ya kidini, kikabila...
Hawa watu wanatumia Masaburi kufikiri! Hatuwezi kuwabadili. Ni kuachana nao na sisi kusonga mbele. Sera zao ni kuzua chochote ili mradi kuupinga Ukristu. Ni mitazamo ya karne za zamani wakati wa vita za kueneza dini. Mpaka leo wanadhani dini inaweza kuenezwa kwa lazima. Chema chajiuza! Dunia ya...
:shock:by Ndalahwa
Mimi naona baada ya kuona sanduku la kura litawaumbua kwenye chaguzi zijazo, ccm kwa kusaidiwa na dola watatumia mabavu kushinda, kwa njia yoyote haramu. na hapo ndipo watakapoitumbukiza nchi yetu kwenye matatizo kwani kizazi cha sasa hakitakubali. Zanzibar raia wasio hatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.