Recent content by Ndaki19

  1. Ndaki19

    Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

    Duuh kumbe ni nani anawajibika kuandaa sera na mazingira ya hao mnaotaka wajiari??
  2. Ndaki19

    Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

    Watu mliopo kwenye mfumo hili swala mnalichukuliaga poa sana.... Hoja hapa sio kulipa kodi au kutii sheria bila shuruti..... Tupunguze siasa twende kwenye utekelezaji wa mazingira wezeshi kwa hawa tunaotaka wajiari
  3. Ndaki19

    Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

    Kuna mambo hawa wanasiasa sijui wanatuchukuliaje vijana coz ni aibu mtu ambaye anapambana kwa namna yeyote ile kupata nafasi kisiasa then anasahau kuwa mfumo wezeshi kwa vijana kujifanyia shughuli zao za kujiingizia kipato ndo sababu ya yeye kukimbia taaluma yake.... Waziri mkuu anawezaje...
  4. Ndaki19

    Hongera Serikali ya Awamu ya 5 kwa Kuanzisha "GESTAPO" Yetu, ila mkumbuke Mwisho wa Hitler Ulikuwaje

    Kutumia magari yenye namba fake ni uhalifu pia na kuteka ni kosa pia.... Ikiwa hao wanaoitwa WATU WASIOJULIKANA wanawavamia watu na kuwakamata(kuwateka)bila kufuata taratibu, Je ni kweli jeshi letu la police pamoja na idara ya usalama wa taifa wameshindwa kukabiliana na GENGE hili la...
  5. Ndaki19

    'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

    Nmeona list ndefu humu za wasanii wa muziki wametajwa kwa interest zetu tu.... Ndg zangu muziki ni sanaa km zilivyo sanaa nyingine km uigizaji, sarakasi nk, muziki una aina tofauti tofauti katika uimbaji wake km vile RnB, Hip Hop, dance, taarab nk(kwa hapa kwetu) hivyo tunapoanza kuwa kosoa...
  6. Ndaki19

    Magufuli: Kama kuna mtu hawezi kwenda na kasi yangu leteni jina nimtoe

    Mzee anapaswa ajue "KILA FARASI ANA KASI YAKE" so kutaka watendaji wafanane kwenye utendaji n by the way kuna utendaji wa kisiasa na utendaji wa kitaaluma
  7. Ndaki19

    Si kauli zinazopaswa kutoka kwa Mh Rais

    Mara kadhaa kumekua na kauli zenye kuleta mshangao au taharuki miongoni wa Watanzania ambazo zimekua zikitolewa na Viongozi mbalimbali ktk serikali hii ya awamu ya tano, si mkuu wa Nchi wala wateule wake ama watendaji wanaofanya kazi ktk sekta mbalimbali za serikali hii... Uchunguzi wangu...
  8. Ndaki19

    Polepole: Ukitukana tusi moja namchomoa Kiongozi mmoja DSM

    Siwalaumu hao madiwani wanajiuza kwa ccm, wala siwalaumu viongozi wa ccm wanaojihusisha na biashara hii ya kitumwa na pia siwalaumu viongozi wa juu wa chadema kwa hali inayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya wanachama wake kujiunga ccm kwa sababu ambazo zimekua zikifanana(wanaunga mkono juhudi za mh...
  9. Ndaki19

    Watu wasiojulikana tishio kwa usalama wa taifa

    Ni muda sasa kasi ya matukio ya utekaji, uvamizi, vitisho na mauaji pamoja na matukio mengi ya uvunjifu wa amani yameshamiri ktk maeneo mbali mbali ya Nchi yetu.... Na ktk matukio haya kumeibuka msamiati wa "WATU WASIOJULIKANA" na mpaka sasa hakuna taasisi yeyote ya kiusalama ktk nchi yetu...
  10. Ndaki19

    Maswali magumu shambulizi dhidi ya Mbunge Nassari

    Mkuu nadhani hukuyasikiliza vyema maelezo ya Nasari, na km uliyasikiliza vyema basi hukuyaelewa.. Tafuta short video ya maelezo yake mtandaoni majibu ya maswali yako yapo wazi kabisa.
  11. Ndaki19

    Humphrey Polepole aongelea Uchaguzi Mdogo katika Kata 43. Asema ushindi wa kata 42 ni salam ya Tsunami inayokuja 2019/20

    Hakuna dhambi mbaya km unafiki kwny maisha.... Na hakuna kitu kibaya km njaa.... Kuna kipindi natamani Mungu atufunulie yaliyo nyuma ya matamshi haya ya Polepole huyu wa sasa, atufunilie na kutuonyesha nyuma ya tambo za ccm kwny uchaguzi huu kuna nn.... Inaogopesha kukubali na kuamini Polepole...
  12. Ndaki19

    Ni aibu kubwa kwa CCM kujipongeza na kujifu kwa matokeo ya uchaguzi huu mdogo

    Inasikitisha kuona na kusikia makada wa chama tawala ccm wakipongezana kwa matokeo waliyoyapata ktk kata mbalimbali zilizofanya uchaguzi huu mdogo, huku wakiwakejeli wapinzani bila kujali uvunjwaji wa haki za binadamu pamoja na ukandamizaji wa demokrasia ktk uchaguzi huu. Toka nikiwa kijana...
  13. Ndaki19

    Waziri wa fedha: Deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 ndani ya mwaka mmoja

    "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, endeleeni kuniombea" JPM
Back
Top Bottom