Recent content by Ndagafumuni

  1. Ndagafumuni

    MCHAMBUZI: Demokrasia Imetumika Kumuondoa Meya

    Mchambuzi wa siasa za Afrika Mashariki, Dkt. Gakere Gathoni amesema demokrasia imetumika kumuondoa madarakani aliyekua Meya wa Jiji la DSM, Isaya Mwita. Madiwani wa Jiji hilo walipiga kura ya kutokua na Imani na Meya huyo kutokana na kile walichoeleza kuwa ni matumizi mabaya ya ofisi...
  2. Ndagafumuni

    Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

    Wale cheka tuu ni vichwaaa...yule deo, mc mandevu wanajua sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ndagafumuni

    Mwenyekiti wa CHASO - UDOM yuko mahabusu wiki ya pili sasa kwa kosa la kuwashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunga na CHADEMA

    Mleta uzi acha kupotosha huyu kijana amekamatwa jana tuu na leo siku ya pili sio wiki mbili kaa unavoongopea wanajamvi..acha kukurupuka huyu kijana ana makosa mengine anayohusishwa nayo hilo cha kushawishi first kujiunga chadema sio kweli halipo umepotosha.
  4. Ndagafumuni

    Naomba kujua makaridio ya vifaa hivi

    Nashukuru sana kwa kunipa mwanga mkuu...nipo Dar
  5. Ndagafumuni

    Naomba kujua makaridio ya vifaa hivi

    [emoji23][emoji23][emoji23]mkuu fundi maiko hajanipa makadirio yoyote..yeye kaandika vifaa tuu. So mimi nataka nijue gharama yaweza kuwa kiasi gani
  6. Ndagafumuni

    Naomba kujua makaridio ya vifaa hivi

    Sawa mkuu...cheki hii hapa
  7. Ndagafumuni

    Naomba kujua makaridio ya vifaa hivi

    Wakuu salama humu... Mwenye uelewea na kuweza kunipa makadirio ya gharama ya vifaaa alivoandika fundi hapo anisaidie. Naomba roughly estimation. Shukran[emoji120]
Back
Top Bottom