Recent content by ndaga kyala

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Ufafanuzi wa Elimu yake

    Una maanisha nini kuwa hakuna B.A Education, ( sidhani mimi nina barchelor of Art with Education) kifupi chake si ndiyo B.A.Education?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    Kama wana ccm wanafurahia kutolipa kodi wakati wafanyakazi wanakamuliwa vibaya sana basi kuna tatizo kubwa, WELL DONE JPM ONGEZA KUTUMBUA MAJIBU
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Magufuli hakuchangiwa na mfanyabiashara yeyote ktk kampeni zake za urais?

    DA KUNA WATU WANATAMAN JPM ATEKELEZE SERA ZA CCM? Kwan ccm wao wanafurahia makontena kutoripiwa kodi? Wake up bro hatupo kichama tena
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    Hahahaha tayar mim nimeshapigwa kama 80 elfu kwa ajili ya fomu na uandikishaji tu wa mtot wa chekechea duuuuuu hatarrrrrr
  5. N

    JamiiForums Tanzania Photocopy machine inahitajika

    Oyo mim ninayo IR 650, uko mkoa gani iko gani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa walimu kubadilishana vituo vya kazi

    Inawezekana tu, inabidi umpate mtu wa kubadilishana nae na muandike barua
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Da umenigusa sana, kweli bwana, mara tamisemi mara wizara ya elimu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili 'dushelele' yangu iwe kubwa?

    Jikubali bro hakuna dawa ya kurefusha labda za kimasai, kwan kibamia hakisugui
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chama kipi ni kambi rasimi ya upinzani? je CHADEMA imetoka?

    Bila shaka itakuwa chadema na si cuf
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada mazingira ya Iringa na chuo cha Ruaha

    Wahi room ishu sana pale chuo ila kiko poa sana, kama mzee wa kiti barid utafaid sana maeneo ya vibanda vya ccm
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi Kwa Walimu Kuongezwa Mishahara

    Mhhhhhh sidhan kama ni kwa walimu wote, wanao weza ni wale waliokuwa wamefikia bar (daraja E,)
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete na kuhuisha mishahara ya walimu

    Hakuna nyongeza yoyote
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dragon energy drink

    Fafanua mziki mnene kivipi funguka kidogo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Michepuko on move

    Hatar!!!!!, mhhhhh hizo love u too zina uongo ndani yake, take care
  15. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Andika barua kwa mkurugenz wako. Kk, afisa elimu kk, mratibu, kk mkuu wako, kuwaomba kuhama uhamisho wa kubadilishana, usisahau c/no. Ya unayebadilishana nae na wilaya aliko
Back
Top Bottom