Recent content by ndaga boy mtemi

  1. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Linkedln Restriction Fix

    Mm nililambwa block ila walinifungulia chamsingi uwe na taarifa sahihi za akaunti Yako Kisha nenda huduma kwa wateja iliyopo twitter account Yao kisha waeleze wape taarifa zako watakufungulia
  2. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Usaidizi unahitajika katika ombi la pasipoti

    Omba sehemu unapotaka kuenda wakutumie ila mambo yasiwe mengi toa pesa Tu hapo maana ukitoa hapo hayo maombi ya barua bado watakuomba kiapo cha MTU aliyekuwepo serikalini ivyo huwezi chomoa kwote Toa pesa mambo yasiwe mengi
  3. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwenye hili

    tuma jina la website
  4. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Samsungs wanashida gani?

    Walitoa Samsung A kwa lengo la ishu ya battery
  5. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya APP ya kuhack

    Hamna
  6. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Msaada katika hili kwenye simu yangu

    Kwa maelezo ya chap I restore tu mzee
  7. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Simu yangu samsung S6 imeandika hivi gafla na imejilock

    Tatizo la lock inabidi ujue kampuni ambayo iyo simu imetoka kama AT& T au VERIZONA ukishajua watumie taarifa ya detal ya simu yako kisha subiri majibu mzee
  8. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Simu yangu samsung S6 imeandika hivi gafla na imejilock

    Tatizo la lock inabidi ujue kampuni ambayo iyo simu imetoka kama AT& T au VERIZONA ukishajua watumie taarifa ya detal ya simu yako kisha subiri majibu mzee
  9. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Code za kutumia

    Unatumia laini gani maana kuna ya voda na tigo
  10. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Msaada:Ni sehemu gani salama zaidi ya kuhifadhi document kwenye simu?

    Kwenye documents tumia google drive kwenye picha tumia google photo
  11. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia "En" input method kwenye simu ndogo

    Iyo imesetiwa ivyo automatic mzee
  12. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Nishaurini: Nataka ninunue iphone S6

    Usichukue iphone 6 tafuta Hela chukua iphone x
  13. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Xiaomi

    Hapo chief umeeleza kitu sahihi maana hao jamaa wanachofanya nikucheza tu na akili ya kwetu
  14. ndaga boy mtemi

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ku-track simu

    Hapo mkuu tumia email tuone
Back
Top Bottom