Recent content by Ndadyeletse

  1. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Jumla DAWA ya LARVA
  2. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

    Kama siyo BAVICHA au NYUMBU basi ulitumbuliwa kwa ufisadi au vyeti feki ndo huijitambui Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya APPLE ina thamani ya kuweza kuilisha Tanzania kwa miaka 46 kwa bajeti ya tril 32 kila mwaka

    Kwa hiyo kilchokufurahisha ni nini
  4. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Huyu anafuta kiki ili serikali ije imkunyuge ila mimi nashauri Serikali iendelee kumpuuza tu ili aendelee kukosa umaarufu
  5. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Yaani sikufahamu hunifahamu ila ninakupa big up kubwa sana kwa andiko hili juu HUYU Julius Mtatiro sijui huyu jamaa kabila gani ana mtima nyongo wa kukosa ubunge anabaki anaitukana Serikali as if ndo ilimnyima ubunge yaani hata sijui yukoje huyu jamaa,sijui anataka uhuru gani matusi na...
  6. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Tumeingia 2018,Tanzania haina dira bado.

    Tafuta dira ya familia yako na maisha yako kwanza
  7. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Hakuna wa kumtoa Mbowe madarakani ndani ya CHADEMA

    Hapo umenena
  8. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Elimu ya UDSM ni mbovu kiasi hiki!! Mtu ana PHD haelewi maana ya Economic Benefit.

    Sasa wewe uliyesoma kama umeshindwa tu kuandika"mnaaibisha" na ukaandika "Mnahaibisha" si habari ama kweli wahenga walisema "NYANI HAONI KUNDULE".....
  9. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka? T.B Joshua alikuja Tanzania baada ya uchaguzi na kutembea peku ikiashiria utawala uliokosa kibali cha Mungu!

    "Waliokuwa wanaishi kama wako mbinguni na kwa sasa wanaishi kama shetani " UTAWATAMBUA KWA MANENO YAO !
  10. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Ulishindwa kuendeleza Chato miaka 20 uje uweze kuendeleza Tanzania miaka 5?

    Nahisi mtoa post "Network" hainasi mawimbi vizuri tumsamsmehe bure !! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu: Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma aapishwa, Rais atoa neno

    Acha kejeli zako wewe! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi

    Tuko pamoja naye Rais wetu mpendwa achape kazi tu na asiogope kelele za Vyura ambazo hazimzuii ng'ombe kunywa maji Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Gwajima awashangaa Viongozi wa Kiroho wanaokaa kimya maovu yanapotokea

    Na maaskofu wenzake na watumishi mbalimbali wa Mungu nao wanamshangaa kukaa kimya kwa matukio kama vile lile la Kibiti na hata watoto kutekwa na ajali ya Watoto wetu wa Lucky Vicent yuko kimyaaaa amekuja kuibikia hili, Aisee Askofu Mungu anakuona!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda: Wapinzani sio maadui, Mfalme Suleimani hakujifanya Mungu mtu. Magufuli ajifunze

    Huyu Padri aliishiwa ujumbe wa NENO LA MUNGU? Badala ya kuwasaidia waumini wake kwa kuwapa mbinu mbalimbali za kupambana na mwovu ibilisi anashadadia mambo ya kisiasa hajui kuwa anampa nafasi ibilisi, Mungu alikuchagua kumtumikia kwa kulihubiri neno la Mungu sasa wewe unaacha uliyoagizwa...
  15. Ndadyeletse

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

    Aisee pole sana tena ninakupa pole,kwa hiyo ndo itakuwa sera( mabango),Yaani hakuna kipindi kigumu kama cha uchaguzi mkuu wa 2020 kwa wapinzani tangia siasa za Tanzania na uchaguzi wa vyama vingi uliopoanza ,yaani wapinzani mna hali mbaya kuliko maelezo jipangeni kisaokolojia kushindwa kuliko...
Back
Top Bottom