Recent content by NDABANINGI STHOLE

  1. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

    HAHAHAHAHAAA,unajaribu kuudhibitishia umma juu ya upumbavu wako?!, nikupe pongezi sn kwa kuijua kesho yako
  2. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) ujue Tanzania ni Taifa huru kwa 100%

    Fikra zako zinamatege,wewe unafikiri EU wanatupenda km akili zako fyongo zinavyokudanganya?
  3. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Baraka hotel ile ipi kwani ziko mbili hspo,
  4. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Unadhibitisha utaahilaa wako mbele ya kandamnasi,ni kweli mpumbavu hajifichi,
  5. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Mimi nilikuwa mwanza nyumbani,baadae nilitoka kwenda kupata moja moto moja baridi huku nikiangalia taarifa ya habari,baadae taarifa maalumu iliingia,lkn alikuwepo jamaa mmoja mlevi alikuja akazima tv na kusema nyerere ni nini?!, mzoga huo wa nini sisi,siku hiyo nilishudia kile ambacho sipendi...
  6. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Wamemaliza kulipa hilo deni,wamelipa kw miaka 35
  7. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

    Wewe ni mgonjwa wa akili,marekani kuna chama chenye umri kama chadema?!,au uingereza,umri wa chama si hoja,na km hoja ni umri wa chama tusajiri chama kipya cha wiki moja,
  8. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

    Lissu awe rais wa tanzania??!!, hata ninyi mnajua haiwezi tokea
  9. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania Kama mtumishi wa umma simpigii kura Magufuli kwa kutoboresha maslahi yangu, wewe kwanini hutamchagua?

    Unatushirikisha kwenye jambo lako la nn ss?!,wewe baki na misimamo ysko km unsona itakusaidia,
  10. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

    Sio kila alie hai ni mzima,
  11. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

    TUNDU LISSU NI MGONJWA WA AKILI,KWELI AWE RAIS WA TANZANIA!?,.HUYU LISSU MBABAISHAJI NA MPIGA POROJO?!, LABDA AWE RAIS WA YANGA AU WA SIMBA,KUWA RAIS WA TANZANIA,NI NDOTO ZA MWENDAWAZIMU,
  12. NDABANINGI STHOLE

    JamiiForums Tanzania MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    niliwagi kufika pale miaka 90,lkn mpka ss ni miaka mingi sn sijawahi kufika hapo,
Back
Top Bottom