Recent content by ncm

  1. ncm

    JamiiForums Tanzania Mungu havimtoshi.

    Great thinker! Safi sana toto.
  2. ncm

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kijapani

    Kwa kweli ni matumizi sahihi ya akili!
  3. ncm

    JamiiForums Tanzania Tokyo Sky Tree - Japan

    Yaani mi mwenyewe ghorofa zinanitesa sana, hata nikitumia lift kichwa kinauna sana!
  4. ncm

    JamiiForums Tanzania Enzi za NGO NGO NGO NGOOO....

    Nilikuwa time keeper, akili ilizoea kiasi kwamba sikuwaji kuchanganya muda, yaani kila baada ya dakika 40 naenda kuligonga, na ckuwahi kusahau!
  5. ncm

    JamiiForums Tanzania Hapa mtoto wako akirogwa utamlaumu nani ?

    Shetani!
  6. ncm

    JamiiForums Tanzania Hapa mtoto wako akirogwa utamlaumu nani ?

    Sio lazima uchawi, kuna mtu unakuta hapendi mafanikio ya watu kabisa, kwa iyo anapofahamu mambo yako atakuombea mabaya kila cku!
  7. ncm

    JamiiForums Tanzania Hapa mtoto wako akirogwa utamlaumu nani ?

    Ajilaumu mzazi! Ndo maana wanashauri sio kila kitu ushirikishe watu maana huwezi jua unayemshirikisha atapokeaje ujumbe wako!
  8. ncm

    JamiiForums Tanzania Ni sheeedah!!!

    Mbavu zangu mie!
  9. ncm

    JamiiForums Tanzania Life atfer death...

    Huuuuuuu!
  10. ncm

    JamiiForums Tanzania Usimuudhi mtoto

    Mbavu zinauma!
  11. ncm

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    Pua kama karavati
  12. ncm

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    Twende sasa, Shingo ka pira la mavi!
  13. ncm

    JamiiForums Tanzania Too late, Mom!

    Aaaaah! You made my day!
  14. ncm

    JamiiForums Tanzania Sema,"Ahsante Mungu"

    Wabheja Sebha!
  15. ncm

    JamiiForums Tanzania Uchoyo

    Heeeeeee! Panya na zao korofi?
Back
Top Bottom