Butwaa watakalopigwa ufipa,tarehe za mwanzoni kabla ya mei mosi mwakani,bila shaka lita mstaafisha mbowe na siasa uku akiwa amebaki kapuku, kitu pekee atakachokuwa anajifunia ni madeni anayoidai Chadema, wakati huo chama kitakuwa na mwenyekiti anayetambuliwa na mahakama kama sio msajiri.Kuna...
Eti makala imeandikwa na Jerry muro. Ujinga mtupu ulichokiandika akieleweki, umeandika Maelezo kama ya mwanafunzi wa darasa la saba.Au ya mtu mwenye njaa kali, unatafuta sababu ya kupambana na Kubenea, hao wote ulio wataja sio saizi yako ww pambana tu na njaa yako.
Kule utakaa usikie lolote, kuna wale wanaopenda kuvaa vikofia vyekundu,wale wenye kiongozi wao ana jina la Samaki mkubwa baharini,walichapewa mabakuli yaliyojaa minofu na mwenzao, sasa wako bize kutafuna, hawana habari na kanyama ka kondoo aliyekonda. Na wale wengine wa vibagalashia wameshapewa...
Pole Sana, kwaiyo serikali yenu mtu akitoa mawazo yake anafinywa?!!! Akili za wa Africa weusi!! Mawazo yao ni kuua na kupoteza tu. Haya mkisha mfinya na kumpoteza mnafaidika nn?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni Hilo likitokea kwa Tanzania hii ambayo, wananchi wake wanashangilia kauli za watawala za kutaka matajiri waishi kama mashetani.watanzania maskini wamezoea kuishi kama mashetani, wala hawatakubali mabadiliko yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww kama mzaliwa wa uko umechukua hatua gani, kuleta matokeo chanya?! Ivi hadi usafi tu mnasubili serikali?! Poor wahaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
So sad Mtatiro, why mnashindwa kurudisha mpira kwa wenye Chama. Adui kashavuka mipaka askari wanakufa, nyie mpo kwenye propaganda za "adui tushamdhibiti"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu toka form 1 mpaka college ujaona bado mwanamke wa kuoa?!! Ebu fungua mafaili yako ya nyuma kwanza maana ninvyokujua ujawahi kuwaacha mademu salama wote waliopita mbele yajo
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.