Recent content by NCHI YETU

  1. N

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Mh. Rais ametangaza vita ya uchumi tumuunge mkono, katika timu , mfano football, hakuna mtu anayemfunga goal keeper wake, hivi katika hili sote kama watanzania ni wachezaji wa timu moja mh. Rais ni kiongozi tumpe ushirikiano ili kushinda vita hii mapema. Ushindi upo, Mungu Mwenyezi aliye...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kaungame dhambi zako kwa mchungaji Vernon Fernandes wa Agape

    no one is perfect but God alone , kila mtu ana dhambi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hakika mwaka huu ni wa “Mabadiliko”, CCM wametumia mbinu nyingi bila Kufanikiwa

    tukapige kura kwa bidii na umakini.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu chukua hatua kali dhidi ya Radio Free Africa (RFA)

    ​hii ni redio ya chama au biashara! kuna maisha baada ya uchaguzi, zingatia good reputation.
  5. N

    JamiiForums Tanzania MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    ameshaona dalili ya kuanguka, watu wazima wanajua kusoma nyakati.
  6. N

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kwenye 360 Cloudstv, Tazama sasa

    max unachosema ni kweli pinzani.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya kutengeneza yana madhara makubwa

    artificial flood ina nuksi, bila shaka hayana baraka. umesema na kushauri vizuri.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, vipi Katiba Mpya huihitaji tena!?

    ndo anatusaliti, kazi anayofanya si bila posho.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Lissu amepata wapi ujasiri wa kumshambulia Dr. Slaa na familia yake?

    mtu anaisaport ccm lazima ni mnafiki au ana maslahi au baba yake ni kiongozi au ataipa ukawa kura yake 25 oct 2015
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa si mwisho wa misa kwa Wakatoliki

    well said
  11. N

    JamiiForums Tanzania Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    tido mashine kubwa, siyo kanjanja.
Back
Top Bottom