Recent content by nazidaka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Hanang -Katesh ni Debris Flows, serikali na jamii ichukue hatua kuzuia isitokee tena

    Lushoto utawahamisha wote!!!?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Hata mabasi yako ya Upendo siku hizi ni kama yamekufa kule Iringa!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Kikubwa ni ahadi tu tena ziwe kwenye Ilani, wakituahidi tena tunawachagua. Ahadi kwanza, utekelezaji tutaendelea kuusubiri.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Bado eneo letu litajaa wanaotimuliwa maeneo ya hifadhi na yale yaliyovamiwa hapa hapa nchini.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

    Hongera Mheshimiwa Rais. Hongera sana Mama Yetu Mpendwa. Msukuma na Babu Tale sijui walihudhuria?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

    Basi Januari na Maharage wamewatendea vema kama fikra zao ni paadiem tuu!!!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Chuki inakondesha!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kama CCM inawapenda waanzishe viwanda mkamate uchumi wa nchi kuwa chawa mnaua nguvu kazi ya taifa

    Dah, umeandika kwa hisia na ghasia za moyoni!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Kundi lipi kati ya hili (i) linalokumbatia DPW kwa namna lilivyo (ii) Wanaoshauri na kupigia kelele maboresho na/au kufutilia mbali DPW kwa namna ilivyo!!!!?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Zamani ukimaliza chuo unakutana na barua 3 au 4 za ajira inayokusubiri, siku hizi si ajabu kukuta graduates wanalelewa na Wazazi!

    Yeye binafsi hajaikuta neema hiyo. Asitudanganye! Alijipendekeza kwenye siasa ikatiki. Anatuona mafala!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

    Kati Ni afadhali Ulega nae angeendelea kukaa kimya. Ila amedhihirisha unafiki wake kwa umma.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Sisi tulimchagua Shujaa Magufuli halafu yeye akatuchagulia Wabunge wa 2020. Nchi tamu sana hii!

    Hivi ni kwa nini alivyokulazimisha wewe uwe mbunge ulimgomea!!!!?
Back
Top Bottom