Recent content by naxon

  1. naxon

    Niliogopa nilipoanza kusikiliza wimbo mpya wa Roma 'Mimi ni Nani?

    Kwa maoni yangu Roma ni Natural Being Kwa huu wimbo amezungumzia kwa upande wa uhai na kifo. Amejikita kwenye uhai na kifo. Kwamba hatma ya uhai ni kifo na kinaweza kuwa na mazingira tofauti lakini mapokeo yake ni ya aina moja. Na hutokea sio kama adhabu bali ni jambo asili linatokea kwa...
  2. naxon

    Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

    Yaani huku kwetu wanaotusahili ndio wamejigawia wao nafasi za usimamizi wa maudhui[emoji12][emoji12]
  3. naxon

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mkuu unamia chakula kiasi gani kuwalisha hao nguruwe 25 kwa mwezi (kilogramu ngapi) na je ni wakubwa kabisa?
  4. naxon

    Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

    Nimefikiri punde tu Gwaji boy alipooneshe msimamo wa ant Uviko 19.time doesn't lie
  5. naxon

    Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    Kuna kakijiji jirani na nilipo bei viazi mviringo imeshuka toka 50elfu mpaka 14000 na mbolea naadawa walinunua ghali sana. Wanasema mama kahusika kupolomosha bei ya zao lao. Ukiongea habari za Bi mdashi unaweza pigwa kwenu likarudi jina tu.
  6. naxon

    Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Dharau tu na dhulma
  7. naxon

    Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Sometimes kuwaelewa watendaji wa chini wa awamu hii kunahitaji umeze panadol kwanza
  8. naxon

    Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    I 'll be the first one to dropout my ideology. Hope my party 'll never make that mistake.
  9. naxon

    GE2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

    Haaahaaaa umeshajua kuwa wa moja hapati mbili basi unadhani wote. Wajumbe walikunyima kura ukatoka na kura 1 ya kwako. Hakikika kama mwandishi nguli utakuwa na historia ya kipekee sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. naxon

    GE2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

    Nani ana ngoma ya "Hizo ni propaganda"Farid kubanda aiattach na uzi huu
  11. naxon

    GE2020 Tafakari: CHADEMA na ACT-Wazalendo kuhusu karatasi za ziada za kura

    Salaamu, Kwanza niwapongeze vyama tajwa kwa mwitikio mkubwa vinao upata kutoka kwa wananchi kwa muendelezo wa kampeni zinazoendelea tofauti na mategemeo ya watawala. Wote tunajua maelekezo yaliyotolewa na tume ya uchaguzi kuhusu uwepo wa karatasi za ziada za katika vituo vya kupigia kura. Tume...
  12. naxon

    GE2020 Joshua Nassari amuomba radhi Rais Magufuli kwa mabaya yote aliyomtendea akiwa CHADEMA!

    John hivi na hiyo ni habari, hivi kuwa ccm ni lazima uwe mjing@ kiasi hiki
  13. naxon

    CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

    Kupambana na mafisadi[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom