Recent content by Nawatania

  1. Nawatania

    Suluhisho la Machinga sio kufukuzwa, mji ubomolewe

    Mlezi wa yote Ni ccm tengeneza tatizo tatua tatizo
  2. Nawatania

    Hakuna wakati mwingine wowote zaidi ya sasa wapinzani kuchukua nchi kama kungekuwa na wapinzani wa kweli

    Wewe mwenyewe ni mchumia tumbo pumbavu!!😀😀😀😀😀😀
  3. Nawatania

    Machinga wanapangwa Dar es Salaam

    Machinga wanapangwa kuanzia leo katika jiji la Dar es Salaam Tunaomba zoezi liishe kwa usalama na amani bila kuacha chuki. Mkuu wa mkoa akifanikiwa hili basi nashauri Tanzania nzima waige mpango wake.
  4. Nawatania

    Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

    Nilifika chato majuzi na kuona taa za barabarani kila mahali Hadi vichochoroni pamoja na barabara za lami kila mtaa wa chato.
  5. Nawatania

    Waziri Kijaji: Sitakuwa mvumilivu kwa yeyote atakayeandika habari zenye viashiria vya uvunjifu wa amani

    Bogazi kabisa huyu Mama ni takataka Nadhani hii serikali ndio serikali ya hovyo zaidi katika historia ya Nchi hii
  6. Nawatania

    Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

    Watu wameanza kutangaza nia hata mwaka hawajamaliza madarakani
  7. Nawatania

    Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

    Imagine now kila kitu kinapanda tu Bei Halafu Rais anatangaza Nia ya kugombea 2025.
  8. Nawatania

    Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

    Kwa ushauri wangu huyu Mama apigwe chini kabla ajatengeneza makundi ya wezi ukiona jk ameanza kumsifia ujue tayari tumepigwa Akigombea 2025 ndio itakuwa mwisho wa ccm tunza hi kwenye kumbukumbu.
  9. Nawatania

    Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

    Hayo ni mapungufu sawa ila Rais upimwa kwa maagizo anayotoa na jinsi yanavyofanyiwa kazi
  10. Nawatania

    Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

    Anaweza hata asifike hiyo 2025 yaani baada afanye kimya kimya yeye anaropoka kabisa Halafu naliona kabisa anguko la ccm 2025 Kama huyu Mama atasimama nampinzani mwenye nguvu.
  11. Nawatania

    Manchester United Ole kama wanataka kombe

    Sijawai kuona kocha mjinga Kama ole yaani timu Kama man u ilivyo unapaki basi kwa young boys?
Back
Top Bottom