Waziri Kijaji: Sitakuwa mvumilivu kwa yeyote atakayeandika habari zenye viashiria vya uvunjifu wa amani

Naomba atu ainishie viashiria vichache vya uvunjifu wa amani isije kuwa ndio mwanzo wa kutafutana uchawi
 
Yaani anawasha gari anaweka gia namba 5 ili aanze safari😂😂😂

Huyu hana maisha marefu kama kashindwa Dr Ndugulile atakuwa huyo?
 
Septemba 16, 2021

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema hatakuwa tayari kuvumilia Vyombo vya Habari na Waandishi watakaoandika habari za kutaka kulichafua Taifa...
Waziri, tunaye...
P
 
Dada ana haraka sana ! ni vema angewauliza waliomtangulia yaliyowakuta na walikoishia .
 
Hasa huku kwenye michezo kuna shida sana yaani mara oooh wawili wakabidhiwa rungu la kuiua rivers, kumbe kinyume chake wandishi wa michezo acheni kutuzingua
 
Septemba 16, 2021

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema hatakuwa tayari kuvumilia Vyombo vya Habari na Waandishi watakaoandika habari za kutaka kulichafua Taifa...
Asisahu kushoto inakwendaga sambamba na kilia, uzito ukiegemea upande 1 mtumbwi unapinduka.
 
Yaani anawasha gari anaweka gia namba 5 ili aanze safari😂😂😂

Huyu hana maisha marefu kama kashindwa Dr Ndugulile atakuwa huyo?
Ndugulile hajashindwa, misimamo yake ndo huwa inamtoa kwa position hizi za kuteukuwa.
 
Hii nchi wanaume tunapenda kulelewa... Kama hadi ulinzi nao anasimamia mama basi tena!

Kilichobaki waziri mkuu apewe mwanamama biashara yisheeee
Jiulize kwa nini Taleban hawataki wanawake wajichanganye na wanaume ktk uongozi huko kila idara kiongozi ni mwanaume (kichwa)

Taifa linalosimamiwa na wanawake haiwezi kuwa strongly, ndio hao kina Kijaji na mama yao wanagawa nchi huku hawana uwezo wa kuongoza
 
Septemba 16, 2021

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema hatakuwa tayari kuvumilia Vyombo vya Habari na Waandishi watakaoandika habari za kutaka kulichafua Taifa.

Waziri Kijaji ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akifungua mafunzo ya Kamati ya Ukaguzi ya Wizara hiyo jijini Dodoma.

"Lazima katika utendaji kazi wa Waandishi wa Habari watangulize uzalendo kwa Taifa."

"Niwahakikishie, sitakuwa mvumilivu kwa yeyote atakayejaribu kufanya hivyo kuandika habari zenye viashiria vya Uvunjifu wa Amani, tutachukua hatua," amesema.

Chanzo: Dk. Kijaji avipiga mkwara vyombo vya habari
Walifungia pilau, wakasahau VPN zinafanya kazi balaa 😅😅
 
Hii wizara haina job description. Yaani kila waziri ana kuja na swaga zake
 
Septemba 16, 2021

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema hatakuwa tayari kuvumilia Vyombo vya Habari na Waandishi watakaoandika habari za kutaka kulichafua Taifa.

Waziri Kijaji ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akifungua mafunzo ya Kamati ya Ukaguzi ya Wizara hiyo jijini Dodoma.

"Lazima katika utendaji kazi wa Waandishi wa Habari watangulize uzalendo kwa Taifa."

"Niwahakikishie, sitakuwa mvumilivu kwa yeyote atakayejaribu kufanya hivyo kuandika habari zenye viashiria vya Uvunjifu wa Amani, tutachukua hatua," amesema.

Chanzo: Dk. Kijaji avipiga mkwara vyombo vya habari
Mtu amwambie hyu Mama Kijaji, mkamia maji hayanywi.
Awe na busara.
 
Back
Top Bottom