Recent content by navajo

  1. navajo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

    Waajemi wanatisha sana, hawa jamaa wana ustaarab wa hali ya juu sana.... Inawezekana ndio wateule wa mwenyezi Mungu na Na tukawa tumeshindwa kutambua. Haiwezekani mtu kabla hajakupiga anakupa taarifa siku ya leo nitapiga sebuleni kwako na anaopiga kweli.. Halafu hawana papara na unafiki , yeye...
  2. navajo

    JamiiForums Tanzania Updates: Vita vya USA-Israel vs Iran - Taarifa zangu za upande wa iran

    Howa jamaa ni wa kweli Daima...
  3. navajo

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Waajemi awacheki na kima.....
  4. navajo

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Muda si mrefu Uliopita Waajemi wamefyatua makombora kuelekea Israel....
  5. navajo

    JamiiForums Tanzania Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

    Naona Persians wameona liwalo na liwe. Wakati ndio huu muda wa kusubili hakuna.
  6. navajo

    JamiiForums Tanzania Poland yatoa mlio baada ya makombora kuingia ndani ya Anga lake

    Watu wakiambiwa Urusi dude kuubwa hivi hawataki kuelewa. We mtu ana mabomu ya kizazi kipya yenye kasi na mifumo ya ulinzi. Yaani bomu halafu Lina mifumo ya kujilinda lisitunguliwe.
  7. navajo

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari, Wabunge wasema waliburuzwa

    Wao wamepewa uwanja waongee Bungeni wanaogopa wanakuja kuleta majungu Ili wananchi mpambane wao waendelee kula posho za burebure pumbavu sana . Kama kweli wanajali wananchi Kwa nini wasijilipue na ubunge wenyewe waukose tujue wanajali wananchi. Tatizo asilimia 60 ya wabunge walipata Kwa mbereko...
  8. navajo

    JamiiForums Tanzania Rushwa iliyotolewa na Wizara ya Nishati yawapofusha wabunge, Kingu ni mmoja wao

    January January , hizo kelele mnazompigia ndio zinamuimarisha.
  9. navajo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Una umri gani? Aisee kuna shida kwa Vijana wetu katika kujumlisha na kutoa katika mambo yanayoendelea ulimwenguni. Russia anapigana na nchi zaidi ya 32 hapo.
  10. navajo

    JamiiForums Tanzania Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

    Muda mwingine mkiwa mnasoma taarifa kama hizi muwe na tafakuri. Mmeambiwa kuanzia cheo Cha Kanali kinahitaji ushahidi ndio atuhumiwe, unadhani ukilichukua swala kama hilo kichwa kichwa utaleta picha gani Kwa Waandamizi wengine kama yeye.
  11. navajo

    JamiiForums Tanzania Je, hii silaha mpya ya Uturuki inakwenda kubadili sheria za mchezo?

    Kwa mikombora ya Urusi hiyo mimeli ni kama majeneza yanayotembea.... Kinzhal imemfanya mpaka Rais Macron wa Ufaransa kuona muda umefika Kwa Ulaya kujitenga na unafiki unaosambazwa na Marekani.
  12. navajo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sio hawatumii akili , ndio uwezo wao ulipoishia. Na ndio kizazi kinacholindwa na Sheria ya haki za binadam . [emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom