Inategemea na sababu ya kuachana kwenu,Ila pia haitakiwi kukurupuka sana kutafuta mpenz mwingine bila kutafakar Kama ww ndio chanzo cha kuachana kwenu au ni mwenzio, ili Kama ww ndio tatizo ujue unajirekebisha vp kabla hujaanza mahusiano mengine,
Baki Na msimamo wako usikubali kuzaa kabla ya ndoa Kama uwezo wa Kulea mtoto anao anashindwa nn kuoa ili mlee pamoja huyo mtoto? Huyo sio muoaji Na hata akikuzalisha jiandae kulea mtoto peke yako
Awe Na mtoto asiwe na mtoto cha kuangalia ni tabia yake tu. Unaweza ukaoa mwanamke asiyezaa Na bado akachepuka tu na Ma ex wake. Ww angalia moyo wako Kama umempenda kweli oa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.