itakua freshi mimi nimefungua basic to kutoka paltalk lakini hai iwi open mpaka admin awe online na mimi siwezi kua online 24/7 icheki kama uko online BONGO - Paltalk Room
hii ni oppinion tu kuongelea hili ni kuwa stiri wao yaani kuwa penda kuwa jali ubakaji utapungua unajua sometimes mavazi ndio yanosababisha mwamke kubakwa
Munaonaje Tanzania kuwe na sheria za kuvaa nguo, kama mfano hasaa kwa wanawake iwe huruhusiwi kuvaa sketi fupi inavuka mapaja huruhusiwi kuvaa tight au leggings bilaa kuvaa kitu kinachoficha makalio yako, kuvaa t shirt inayobana mpaka chuchu kuonekana, kwa ufupi nguo zinodhalilisha wanawake, toa...
jamani nauliza kama kuna mitandao yoyote yakuchat na wabongo wenzangu imenijia hamu ya toka enzi za darhotwire naomba nambie kama kuna website yoyote au app. shukran nimeona moja inapatikana paltalk inaitwa bongo lakini kila nikingia sioni mtu.
jamani kuna amtu katoa wazo lakufungua chat room...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.