Recent content by naturesolve

  1. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kaka Tupu available 24 karibu tukuudumie ndugu yetu ametujulisha
  2. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye kutaka fashion mpya ye sendo anicheki nauza kwa bei ya JUMLA na REJAREJA 15000, 0782519947
  3. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Bado tu wadau
  4. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Kaka nipe mbinu iyoo ya wizi wa madawa
  5. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: community development. Experience: 3 years. Leave: Diploma. Location: dar, mbezi
  6. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Oya ndugu zangu tupeane dili za kuingiza pesa

    Mkuu nipe dili ilo kingozi
  7. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watanzania waishio Afrika Kusini

    Wadau mbona hapa mazungumzo mengi Kusu SA tu tuzungumzee na nchi nyingine ukoo
  8. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar es salaam, nasaidia watu Kununua Mizigo na kuituma kwa uaminifu mkubwa

    Nafanya kazi na watu tofauti kutoka mikoani. Mimi napatikana Dar, Mbezi Mwisho watu wanaotaka kununuliwa mizigo au kufanyiwa shughuli zao kwa ufasaha angali wapo mbali. Kwa msaada wa kitu chochote ndani la jiji la dar, nafanya kwa uaminifuu zaidi hautojutia kufanya kazi na mimi. Mawasiliano...
  9. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la bishara la mtaji kuazia laki tano kushuka chini

    Dhumuni langu langu la kutengeneza uzii huu ukawasaidie vijana wengii wenye mitaji midogo ambao wanahitajika wasonge mbele kimaisha. Wana jamii tuleteni mawazo ya kujenga mwenye fursa, mwenye wazo aliletee mezani watu wanufaike. MTU MWENYE MTAJI WA CHINI YA MILIONI TANO ANAWEZA AKAFANYA...
  10. naturesolve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Karibu
  11. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Nimejitokeza mbele yajukwaa ilii kuomba fursa ama connection yeyote ile ya kibishara

    Kwa nn mkuu sijawai specific? Nielekeze
  12. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Nimejitokeza mbele yajukwaa ilii kuomba fursa ama connection yeyote ile ya kibishara

    Ndugu zangu habari zenu, bila kupoteza mudaa naitaji connection ya wafanya bishara za nafaka kutoka mkoani na kuleta dar wajitokezee waje tupeanee uzoefuu wa shughuli zinavyokwenda karibuni.
  13. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Nimejitokeza mbele yajukwaa ilii kuomba fursa ama connection yeyote ile ya kibishara

    Natumaini wazima wa afyaa,Mm ni kijana wa Mika 29 ni mkazi wa jijini DAR nimejitokeza mbele yajukwaa ilii kuomba fursa ama connection yeyote ile ya kibishara Mana na amini kupitia jukwa ili Kuna watu wanafanya bishara mbalimbali. Kilichonifanya niandike uzii huu ni nimetamani kuingia kwenye...
  14. naturesolve

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao na matunda inalipa na inawatoa wengi kimaisha, Vijana tuache kuilaumu serikali

    Yeyote mwenye connection ya kutoa matunda au mazao mkoani na kuleta sokoni au viwandani tuwasiliane aje pm
Back
Top Bottom