Recent content by natural winner

  1. N

    Dr. Slaa alitema big G kwa karanga za kuonjeshwa

    Dr was right ule usanii ulipitiliza kwa mtu wa kariba yake hakukua na namna nyingine! I will respect him forever japo nlibaki na nlipiga kura yangu upande wa mabadiliko.
  2. N

    Rais Magufuli amekaribisha upinzani Serikalini mwake

    Prof Muhongo adui wa wazawa wanaojiamini na kuthubu, jpm kachemsha aisee!
  3. N

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    I will not marry until i find virgin na hiv navojijua kwamba am not among those the so called 'gud on bed'.. Ishakua kawaida and it's actually easy kwa wapenzi wa zamani kushawishiana kwamba wakumbushane,Satan on duty to accomplish his evil mission. Back to topic, you just kausha huyo jamaa...
  4. N

    Morogoro Kusini, Wilaya masikini kuliko zote Tanzania

    Wakuu hiyo ndo hali ilioko ngome zote za mafisiem, Naomba anaeweza kuielezea hali ya wilaya za mkoa wa dodoma anisaidie, nmesoma chuo flani pale kwakweli ule mkoa unanuka umaskini kutokea pande zote Kus, Kaskaz, Mashar na Magharibi. Mungu awafunulie nuru kwakweli Wagogo wanatia huruma!
  5. N

    UKAWA tumejikwaa tuinuke haraka tujipange upya watanzania wanatutegemea

    Habari ndugu zangu jf, Ningependa nizungumze kuhusu mambo machache ambayo yametuvuruga sisi kama UKAWA especially Chadema as giant of opposition side. Kwakweli kwa mwaka huu kuna mambo tumefanya mazuri na mengine mambaya na yale mabaya yametufanya tupate matokeo yasioridhisha kwa kiwango...
  6. N

    Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

    diamond cjawaì kumpenda kivle...Alieniudhi ni MwanaFATUMA!!!......watoto wa kiswahili hawaaminiki aisee ata Lowassa atakubaliana na mimi!
  7. N

    Lowassa kustaafu siasa

    Acha ramli chonganishi
  8. N

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Nna vidigrii viwili kwa moyo mmoja bila kushinikizwa nasema POTELEA MBALI, KWANI TZ C YE2 SOTE BANA?...viva Lowassa, viva mabadiliko!
  9. N

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Nna vidigree viwili kwa moyo mmoja bila kushinikizwa nasema POTELEA MBALI, KWANI TZ C YE2 SOTE BANA?...viva Lowassa, viva mabadiliko!
  10. N

    Nahitaji mpenzi wa kike miaka 25-50

    5oyrz unataka kumvunja nyanya ako mgongo?
  11. N

    Nina Degree ya Uchumi na Diploma ya Ualimu, natafuta kazi

    Kwani haiwezekani kwamba akawa alisoma HGE A-level alpomaliza degree akaenda diploma kwa kutumia cheti cha form 4?
  12. N

    Kwa Weusi, Jux na Vanessa: Hip hop na R&b kutoboa inawezekana, ila Afrika ni ngumu sana

    Usijifunze sana kwa waliofeli, usiseme haiwezekani wakati hujajaribu,'Nusunusu' ya johmakin imeshafika no.1kwenye chart za channel O, dalili njema...GO ON WEUSI
  13. N

    Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    Siku wanaaga wakulima nmiambie natamani sana minyama na mipilau yao.
  14. N

    Polisi yaingilia kati zomea zomea ya waliovaa nguo za kijani na njano!

    Hivi kushangilia na kuzomea vyote c sawa tu? Wapige marufuku pia na kushangilia manake wengine tunakereka na inaweza kuleta uchochezi kwetu sisi tusiompenda anaeshangiliwa.
Back
Top Bottom