Recent content by Natural girl

  1. N

    JamiiForums Tanzania Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

    😀😀😀pole
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

    😀😀😀😀 kweli kabisa,siku jumapl mchana napika nimeacha vitu jikon vinachemka nimeenda chumban..mr nimemuacha seburen zen akanifuata anataka nikamwambia mm napika sahiz bna..mbishi mm nataka bwana, nikasema iv kazime jiko bas,khaa km alipaa sec amesharud wakt jikon na chumban pana umbali kdg..
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

    😀😀😀 mbona km mm huyo,mm nachukia nakusimulia umbea Alf unanikatiza,huwa namwambia sikusimulii tena,bas ”anasema aya endelea Bas sikukatishi tena” naanza upya😀😀😀
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Muda wa saa 3kwenda saa 4 huko ndio mm nilikuwa k/koo walikuwa wanafukuza
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Mm nimeenda leo kariakoo ndio tumekuta wanafukuza fukuza watu wanafunga biashara,kuanzia ilala sokon hadi kariakoo kote walikuwa wanafunga hakuna biashara iliyoendelea leo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

    😀😀😀😀😀
  7. N

    JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Yes my true story.,mm nishafanya ya ivo bila sherehe wala kumchangisha mtu and am happy na ndoa yang,ni iv mmewangu yy hana wazaz na alizaliwa pekee ake na ndugu aliyenae ni shangaz na nae ndio hana upendo ,sherehe nayo lazima ndugu zako wahusike kwa kias wote tunajua,mme wangu alisema naomba...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

    😀😀😀😀😀😀
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

    😀😀😀
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    😃😃😃😃
Back
Top Bottom