Kabla ya kununua sound system yoyote kwanza unatakiwa kujua hitaji lako ni nini.
Kwa mfano; hitaji lako ni mziki mkubwa( sauti kubwa),mziki mzuri,mziki mtupu,mziki + muvi nk.
Kama hitaji lako ni mziki mzuri basi unatakiwa uangalie kitu kinachoitwa frequence range na frequence response ya spika...
Dawa ya mbao ni oil chafu kama wengine wakivyosema.
Zile mbao ambazo unaona zina kama rangi ya kijani ile sio dawa.
Zile zinawekwa rangi ya ukindu.
Wafanyabiashara wengi hutumia mbinu hii ya kuloweka mbao kwenye rangi za ukindu ili wapate faida zaidi.
Mafanikio kamili ya mwanadamu huja ikiwa kuna uwiano sahii( balance)wa nguvu ya Roho, nafsi na mwili. Roho, nafsi na mwili ni vitu ambavyo vipo katika state/dimension ( hali) tatu tofauti.
Kwa mwanadamu kazi kuu ya mwili ni kuchukua maelezo kutoka rohoni na kuyafanyia kazi na uchawi unaoungelea...
Ni wapi sayansi imekataa juu ya uwepo wa uchawi, mapepo na majini?
Kama hamjasoma sayansi ni vema mkae kimya.
Maswala yote ya kiroho yana sayansi yake husika( occult science) na yanaweza kuwa proved scientifically.
Hicho ambacho mnakiita sayansi ni mifupa tu ila nyama bado hamjafanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.