Recent content by NatJ

  1. N

    JamiiForums Tanzania njoo nikufundishe Lugha ya chit chat ya jf ili msipigwe ban

    )<um6€ ^1 &#8377;u)<54 )<u¤^g€4 u+4)<4v¥¤? £1§§4^1§§4 upo h4po 3434 m14?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Success

    teh..teh..teh! Madame B ndio nini hicho? Au ndio lugha gongana? Lol. . Acha nicheke mie
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

    umeonaee! Skirt & gaun ndio mpango mzima
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa Hawana Wivu wa Mapenzi Afrika Mashariki na Kati

    kwa upande wa watusi nakuunga mkono asilimia zote.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya Mume inanitesa

    Pole sana kwa yaliyomsibu mdogo wako, me simshauri kabisaa aache ndoa yake bila kujua sababu inayomfanya mumewe awe vile. Chamsingi awaite viongozi wa dini awaeleze iloswala mbele ya mumewe ninauhakika kama mke ndiye anayemkwaza ni lazima atasema na mambo yatakaa sawa. Ndoa si lelemama...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mitandaoni (Online Girls)

    umemjibu vizuri sana mkuu.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

    ngoja nisiandikie mate wakati wino ninao.. Anayepinga na apinge sasa!
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo

    vp kubwa imekushinda ndugu?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kufika kileleni

    pole sana Jenu kwakukosa raha duniani na hivi umri ndio unazidi kusonga ndivyo matumaini ya kupata kautamu yanapungua lol!
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    kwahiyo ulitaka apige mayowe na kugaragara chini kwenye basi ili watu wajue kuwa anamajonzi? Wakati mwingine tuweni wastaarabu katika mambo kama haya ijoz anahaki kabisa kuingia mtandaoni na kutujuza sisi kama rafiki zake ilituweze kumfariji katika kipindi hiki kigumu na si kumvunja moyo kama...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    Pole sana ijoz kwa msiba ulio kufika, najua upo katika kipindi kigumu sana ila Mungu akutie nguvu katika kipindi chote hiki cha majonzi. Mungu ailaze roho ya mama yetu mpendwa mahali pema peponi. AMEN.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kuanika nguo za ndani ili zikauke ni ipi katika jamii?

    ha ha ha ha.... Umenichekesha sana Madame B.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

    mmh... Haya ckujuaga hilo!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

    SEX:Jamiiforum jamiiforum ndio jinsia gani? (najuaga kuna jinsia mbili tu, kumbe kuna ya tatu.. Dah!)
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili swali unalichukuliaje?? ...

    nimeona hilo swali linawahusu wanaume zaidi. But kwa maoni yangu me nadhani ukishapewa jibu kama hilo ujue mwenzio yuko ki business zaidi.
Back
Top Bottom