Recent content by NATIONALISM

  1. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Hii ndio CARTEL ya Prof. Ndulu wa BOT...

  2. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Kutoa mali kwa mtoto wa nje ya ndoa

    By nationalism Mimi nilihitaji msaada wa kisheria na sihitaji ushauri wenu,matusi wala mabango. SI KILA MAONI YAWE NI YA KIHIVYO,ELIMU YENU IWAKOMBOE KIFIKRA
  3. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Kutoa mali kwa mtoto wa nje ya ndoa

    naomba wataalamu wa humu ndani juu ya hili Ni kwamba baba alizaa mtoto wa nje mwanaume,sasa baba analazimisha kumpa shamba bila sie watoto wakubwa kuridhia. Kisheria likoje!
  4. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya muda

    Mimi ni mhitimu wa chuo cha kilimo ngazi ya cheti, natafuta ajira ya muda, naomba kwa yeyote atakayeguswa anifahamishe kupitia nambari yangu 0762001136. AHSANTE
  5. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutazichapa bungeni kuzuia mswada haramu wa vyombo vya habari

    Tungelikuwa na wawakilishi kama T.A Lissu,inchi ingelisonga mbele.mwenyezi mungu akulinde
  6. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Kuahirisha mwaka wa masomo Chuo Kikuu

    Samahani wadau wa humu. Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika? Nawasilisha kwenu, shukrani!
  7. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Mwl.wa kubadilishana kituo cha kazi

    Ndg mwl.utakayependakubadilisha kituo cha kazi njoo wilaya ya ngara-kagera nami niende geita.Idara ya shule ya msingi. Wasiliana nami kwa namba hii 0754403166
  8. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Naomba kusomeshwa kwa mkataba

    Bado sijafanikiwa.
  9. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Naomba kusomeshwa kwa mkataba

    nimejaribu kuongea na viongozi wakuu wa madhehebu ya dini lakini hamna hatima ya matatizo yangu.
  10. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Naomba kusomeshwa kwa mkataba

    Umri: 27 Sex: M Chuo: SAUTI - Mwanza Course: BAED Kwa bahati sana,sina hatima kama nitamaliza chuo ambapo ni historia kubwa tangu huko nyuma mpaka nafika hapa,offcourse kwa nguvu za mungu,lakini naona hapa nitashindwa , mpaka sasa nimezuiliwa kufanya (university exam), nikaamua kuandika...
  11. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Naomba kusomeshwa kwa mkataba

    Ahsante grafani
  12. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Naomba kusomeshwa kwa mkataba

    Ndugu wanajamvi hili, ninaleta hili kwenu ninaomba atakaye guswa na hili na uwezo wa kunilipia nusu ya ada ya chuo yaani laki tano kwa mwaka kwa mkataba maalumu nipo tayari. Ahsante.
  13. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania HESBL: Tulio appeal majibu yanatoka lini ?

    s1480.0081.2007
  14. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania HESBL: Tulio appeal majibu yanatoka lini ?

    Samahani wadau,aliye na taarifa kuhusu tulio appeal majibu yanatoka lini?
  15. NATIONALISM

    JamiiForums Tanzania Naomba wanajamvi mnisaidie jinsi ya kumpata mfadhili.

    ahsante keity,Nimejaribu kuwatafta viongozi wa makanisa kama TAG,EAG,RC Lakini sijafanikiwa.Kwa yeyote aliye na mawasiliano ya moja kwa moja ya watu ambao wanaweza kunisaidia.
Back
Top Bottom