Recent content by Nathason2

 1. Nathason2

  Afrika: Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim 

  Kama juzi aliondolewa kwenye ligi ya jogoo kwa maamuzi ya kamati tu licha ya kura zake kuwa nyingi atashindaje tuzo za Mo ibrahim
 2. Nathason2

  Top ten ya Mikoa yenye wanaume wa shoka

  Kilimanjaro- Rombo ndiko anakotokea mtoa post.
 3. Nathason2

  Trump aishambulia Afrika, Haiti na El Salvador adai ni 'nchi chafu'

  Kumbe marekani wanapakua rasilimali kutoka kwenye "shithole". Kumbe utajiri wa marekani unatoka kwenye shithole,
 4. Nathason2

  How JPM misunderstood Political Mathematics and the Dynamics of Power

  Mi nakushauri acha kujibizana na hao wapuuzi wachache, kama hujui kiingereza yy ameandika kipi ili tukifananishe na chako?, pongezi kwako umeandika mambo ya msingi sana.
 5. Nathason2

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Natafuta wimbo wa patrick Balisidia-Mashaka na Hangaiko
 6. Nathason2

  Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

  Mm nimekuomba uninukuu japo sehemu moja tu nilipolitaka jeshi la polisi lithibitishe kazi zake unarukaruka na kutaka kunimezesh maneno. Siku nyingine ujipange usidhani huku JF wamejaa poyoyo kiasi ukileta vioja nao wanakubali tu.
 7. Nathason2

  Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

  Ebu nukuu sehemu niliposema jeshi la polisi lithibitishe kazi zake, au nabishana na hamnazo?
 8. Nathason2

  Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

  Yale ni makazi ya viongozi yanalindwa 24HRS seven days na kamera za usalama zipo sasa ukiamua kujitoa ufahamu jitoe, by the way umewahi hata kusikia mlio wa risasi? Umewahi kukaribia Umauti, umewahi kupambana kuikoa roho yako isikutoke? nadhani ungepitia moment ya kukaribia kupoteza uhai...
 9. Nathason2

  Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

  Waanze kuhojiwa polisi waliokuwa wakilinda eneo la tukio sio dreva aliyekuwa anashambuliwa pamoja na mhanga.
 10. Nathason2

  Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

  Ww uliweza vp kutambua kuwa dreva ni shahidi muhimu na kwa nn wasiwe polisi waliokuwa wakilinda eneo la tukio, kwa nn awe mtu aliyekuwa akishambuliwa?
 11. Nathason2

  Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

  Kama hazifanywi kizembe zinafanywa kwa weredi kwa nn wanasema mpaka dreva ahojiwe ndipo wamjue muuaji je dreva angekufa ina maana ungekuwa mwisho wa upelelezi? Na jalada la mauaji lingefungwa? Huo uweredi ndio wauoneshe kwa vitendo in absence of driver wauaji wapatikane sio tu uweredi wa maneno...
Top Bottom