Recent content by Nathan_Mao-Tz

  1. N

    JamiiForums Tanzania MVUA

    Hii ndy Daresalama ya sasa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya biomedical engineering

    Hi
  3. N

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Hivi mtu anaempinga Makonda ktk hili sakata la wamama ni Nani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Lack of knowledge
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nawasalimu,

    [emoji290] hakuna kitu cha thamani kama salamu, watu wengi sana mnapuuza salamu za mitandaoni mkizani ya kuwa nyie ni bora zaidi na hata hamna muda wa kupoteza, siku ya kukata roho utatamani Dunia yote ikusogelee na uwasalimu kwakua hutaiona tena sayari ya Dunia na watu wake
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Kuwa mpole
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Asante mkali, kila mtu anamazaifu yake hatuwezi kufungia macho mambo makuu ya Rc kwa kosa moja la vyeti feki, wako wengi wenye vyeti wameboronga sana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Ndo nimesha anza
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Ayse
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Vip kuhusu m/kiti wako kuwa dikteta na kukosekana kwa uhuru wa demokrasia ndani ya Chama?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Baba anaweza kumkemea mtoto kwa namna yyt atakavyopenda, sintaubeba uovu wa baba
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Huna la kunitishia bro nitakapo amua kusema ubaya wako sio zana ya matusi mimi ni mtanzania mstaarabu sana naheshimu hisia za watu Sina haja ya kukuchafulia utu lkn siku zijazo jifunze kujibu hoja kwa hoja matusi ni mwiko sio utaratibu wetu watanzania alafu mimi ni mlokole sipendagi lugha chafu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Nafikiri nitakuwa sijakosea kama nitasema ubaya juu yako
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Povu la nini wakuu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rc Makonda

    Nampongeza kwa kazi kubwa anayoifanya
Back
Top Bottom