Recent content by Natafuta pesa

  1. Natafuta pesa

    Naomba kusaidiwa juu ya maswali ya history

    Section B huwa Kuna swali la kuchora ramani ya mfano ramani ya Afrika, Afrika ya mashariki n.k
  2. Natafuta pesa

    Urafiki wa Julius Nyerere na Zuberi Mtemvu

    Kumbukizi nzuri kabisa.
  3. Natafuta pesa

    Shujaa Aliyeibeba TANU, Akasalitiwa na Taifa

    Shukrani kwa haja maarifa
  4. Natafuta pesa

    Ni nini Chanzo cha jina Tanganyika?

    Swali zuri, natamani kujua pia
  5. Natafuta pesa

    Mwl. Nyerere alikuwa anafundisha masomo gani??

    Tafadhali rejea kichwa cha "thread" hapo juu.
  6. Natafuta pesa

    Ninatafuta kazi ya kufundisha Kiswahili na Historia

    Bado sijapata, kama Kuna nafasi ipo mahali tuwasiliane.
  7. Natafuta pesa

    Ninatafuta kazi ya kufundisha Kiswahili na Historia

    Sawa ndugu nashukuru. Ninaamini kwa siku chache hizi kabla mwaka haujapinduka nitakuwa sehemu nzuri.
  8. Natafuta pesa

    Ninatafuta kazi ya kufundisha Kiswahili na Historia

    Shukrani kwa kunikumbusha jambo la msingi, mimi nimuhitimu wa shahada ya awali ya elimu (Bachelor of education in adult and community education) Ndiyo mimi ni mwalimu.
  9. Natafuta pesa

    Ninatafuta kazi ya kufundisha Kiswahili na Historia

    Habari za muda huu. Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Nina uzoefu wa kufundisha shule ya sekondari kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja na nusu, somo la Kiswahili na...
  10. Natafuta pesa

    Methali mia sita na kumi (610)

    Shukrani mkuu
Back
Top Bottom