Recent content by Nasuwa Grandson

  1. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

    Huo ndo ufala Wa Khemenei
  2. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Gwajima: Ilibidi Maaaskofu wetu wakimbie nchi kuokoa uhai wao

    Shikilia hapo hapo baba
  3. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nilipokea ujumbe wakunitaka nisije! Nitakuwepo kila Jumapili

    Huyu jamaa akili kubw asee. Lazma tubalance life. Kipind cha Bashite aliuwasha na sasa anauwasha. Huyu ni baba wa Karne
  4. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Wachaga ndo kabila waliouliwa mno kwenye mo29, zaidi ya nusu ya waliouliwa ni wachaga

    Ni kweli kabisa. Na hpo nadhan watakja conclude wachaga n CDM ndio maana
  5. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

    2025 umekuwa ni mwaka wa Kihistoria. Habari za kisiwa cha amani zmekuwa ni ndoto, ukisema lolote baya kuhusu serikali basi story yako ndio imeisha. Taifa kugawanyika UDINI, CHUKI ZA KUENEZWA, kupungua kwa upendeleo. R.IP MAGUFULI
  6. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

    Wapo kama wote
  7. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, you're still lost in your own denial mode. Taifa linahitaji TRUTH & RECONCILIATION COMMISSION na sio TUME YA MARIDHIANO TU!

    Yan kama maisha ni haya tunayoishi basi tuna safari ndefuuuu
  8. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu Ajira za Walimu

    RUSHWA hi nchi haijawah kuisha, wenye nacho wanaongezewa ambae huna unabaki hapo hapo. kila ajira zikitoka familia zinajirudia n zile zile mzeee
  9. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu Ajira za Walimu

    Kurudisha haiwezekani, ila chakufanya waajiri kwa miaka yani waanze 2015 kuja mbele lasivyo kuna watu ajira za serikali wasahau
  10. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Kuelekea ajira mpya za Walimu, hivi Serikali inaujua ukweli wa hali ilivyo mashuleni?

    Sitaki kuamini kwamba moto tutakaochomwa sisi ndio utakaowachoma wanasiasa, wanasiasa ni wauaji asee, wala sio wa kuwaamini watt wao wapo feza af wewe unayempigia kura mtoto wako hapati elimu bora, afya bora ni msoto wa hatari. dah ukisoma unawez kulia
  11. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutengeneze mazingira rafiki kwa wawekezaji kupunguza ukosefu wa ajira

    Shida ni kwamba sisi tunafanya kazi kwa kujilinganisha. Yan kwa Tz sio ajabu kumwona kiongozi akisema mbna hata kenya kuna tatizo la ajira. Ajira zipo ila shida ni uswahili na busines as usual yan huwez amini hata ajira za muda wanatumika watumishi wa serikali, kwenye zoezi la sensa walijitahid...
  12. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kutotoka maziwa ghafla kwa mama anaenyonyesha??

    Dah asee, na mke wangu kakosa maziwa, yan tunawaza hap na n mtt wetu wa kwanza.
  13. Nasuwa Grandson

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Pole sana mwl. ila ukireport huku usiache kureport na Wizaran kuwa sehemu ya kuwasilisha malalamiko, usiache pia kuandika email kwa waziri wa elimu, CC. TAKUKURU a hata kwa rais, wanafanyia kazi. Ukiwa na lalamiko lolote hakikisha unareport wizara husika mimi nimereport la kudhulumiwa ardhi na...
Back
Top Bottom