Wakuu msaada pls.Natafuta fundi specialist wa Mitsubishi Pajero au Dealer/s wake walipo kwa hapa Dsm. Pili mwenye ufahamu juu ya uimara wa hizi gari plllzzz anijuze. Natanguliza shukrani.
Wakuu natumai mu wazima wa afya j4 ya leo.Ninaomba msaada wa kumpata fundi specialist wa Mitsubishi Pajero GDI. Mimi nipo Dar es Salaam na ninahitaji fundi wa gari hizi kwani nimejulishwa mafundi wengi wa magari hapa TZ hawana ujuzi wa magari haya na huweza liongezea tatizo zaidi kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.