Recent content by nasssen

  1. nasssen

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Exactly mkuu. Utapoteza vingi sana kwa kupata tone moja la haki katika nchi hii, hasa ukiwa unashindana na system.
  2. nasssen

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Acha kabisa. Ila nikasema kwa hii nchi bila kuwa na connection kubwa, utaishia kupoteza muda, pesa, na hata uhai ukiamua kupelekana front na hawa watu.
  3. nasssen

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Asante sana mkuu na pole pia kwa yaliyokupata na wewe. Si kwamba najiteta au najisafisha ila ni kwamba hiyo njia huwa ina magari machache sana na ni vigumu kukuta foleni weekenda, especially mchana. So, hata sikuwaona wakinisimamisha wala kuona magari yamesimama. Ila sikutaka kabisa kubishana...
  4. nasssen

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Ndugu wanajamvi, Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye...
  5. nasssen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hawezi kutunza simu

    Mna mtoto mdogo?
  6. nasssen

    JamiiForums Tanzania Wenye connection ya kazi Viwandani wanisaidie

    Ungejaribu kuweka details kidogo kama vile aina ya kazi, fani uliyo na uzoefu nayo, na ngazi pia. Hii inaweza ikarahisisha ili upate msaada kwa haraka.
  7. nasssen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Mbwa = Mume bora wa amani.
  8. nasssen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda mke wangu anisusie tukiwa faragha

    Jeffrey Dahmer was something else man. Hahahahaha....naona mwamba nae ana dalili zote za necrophilia.
  9. nasssen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

  10. nasssen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Nahisi nimeisoma vibaya hii comment.
  11. nasssen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

    Mkuu, Kuoa au kuolewa ni zaidi ya haya yote uliyoyaandika hapa. Kumbuka kuwa ipo siku utazeeka na pengine ukapatwa na magonjwa ambayo yatahitaji mtu wa karibu sana kukuhudumia. Mtu wa kwanza ambaye ataweza kukuhudumia kwa moyo wote ni mke wako, then wanakuja watoto na mwishowe ndugu wa karibu...
  12. nasssen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiniona nipo kwenye ndoa na sijawahi kukupa kadi ya harusi kwa ajili ya mchango; usiniletee kadi yako ya mchango wa harusi

    Unakuta mtu hadi pete ya ndoa ananunua kwa michango ya watu. Sasa unakuta watu wanatoa kwa manung'uniko weee....unadhani hiyo ndoa itatoboa hata mwaka?? Mimi siwezi kuchangisha senti ya mtu aisee. Bora nisifanye sherehe kabisa.
  13. nasssen

    JamiiForums Tanzania Remote Control - Dell Projector Type 1550

    Wakuu habari za muda huu? Nina uhitaji wa haraka sana wa remote control ya dell Projector aina ya 1550. Ninaomba kwa yeyote mwenye nayo anijulishe.
Back
Top Bottom