Recent content by NasserMNasser

  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Article nzuri sana. Serikali inabidi ifanye jitihada ktk utekelezaji wa utunzaji wa nyuki na kutunza mazingira kiujumla Kuna majimbo ya China ambayo mazingira yalichafuliwa kiasi kwamba wakulima hawakuwa na njia nyingine isipokuwa walilazimika wao ndio waende na vijiti kuchavisha mashamba yao...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Furaha ya UKAWA ni ya siku moja. Ngoja kesho mmeweka dozi yenu. Hiyo strategy yenu ya pick and leave haitowasaidia nyau wee
  3. N

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Arusha mafala aana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania Vs Morocco

    goallllll
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania Vs Morocco

    wakate makosa ya kupoteza mipira katikati ya uwanja, mara zote ni hatari. andunje ngassa wampumzishe, makeke yake yalionekana dakika za mwanzo tu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Shekh Nassor Bachu amefariki!

    Nilikuwa namsikiliza Sheikh Bachu miaka 20 iliyopita. Bado namsikiliza leo. Nitasikiliza mawaidha yake mpaka mwisho wa maisha yangu. Inna lillah wainna ilaih raajiuun
Back
Top Bottom