Recent content by nasri

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibamba CCM

    kibamba upande upi ukitoka mbezi? kulia au kushoto? na umbali gani kutoka barabara ya lami?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bajaji inauzwa.

    bei muhimu sana, kukupigia itakuwa ngumu weka bei tufanye biashara
  3. N

    JamiiForums Tanzania Line ya M-Pesa Tsh Laki moja tu

    Ebu tueleze kidogo kuhusu hii biashara, commission yake ikoje! unaweza pata faida kiasi gani kwa mwezi au unawanufaisha tu mwenye mitandao? hasa Airtel money ambayo hakatwi mtu, commission hapo inatoaka wapi!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Bajaj 2 (4 - Strokes) kwa Bei ya Kutupa!

    okay, ngoja nifanye mchakato kama nitampata mdau aje azicheki tufanye biashara, mi nipo Lindi, ila naamini zinapungua bei pia.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Bajaj 2 (4 - Strokes) kwa Bei ya Kutupa!

    zipo mkoa gani!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TANROADS DODOMA.

    Ilifanyika tar 21/12/12 kwenye nafasi ya assistant accountant, mi nillitwa! pole klama ujaiitwa adi leo.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya thamani ya 5m (five milion)

    upo seroius au unabip! watu tunaangalia bodi tu! kama upo serious sema tufanye biashara
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka dungu zangu, hii ya tanroads.

    Yaani unataka kuniambia una umri zaidi ya miaka 35 na ujawahi kufanya interview! walisema kwenye hii post waombe kuanzia umri wa miaka 35 mpaka 40! ok, all the best, we tulia tu na uwaoe kama watu wa kawaida tu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

    ukiwa Lindi, fika Darajani bar, likotwa bridge, aka Stamford bridge! fully kujilamba!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hilux double cabin 2.8 inauzwa bei poa sana

    ipo mkoa gani!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nauza projector bei 200,000

    bado ipo! au umeshauza
  12. N

    JamiiForums Tanzania Suzuki Escudo For Sale

    5.2 m kama upo serious nipm tufanye biashara
  13. N

    JamiiForums Tanzania Toyota surf sokoni

    weka bei mkuu na other specifications kama mwaka, imeingianchini lini nchin, engine capacity,
  14. N

    JamiiForums Tanzania Gari sokoni

    picha mdau na othe specifications ni muhimu pia kama km ngapi na nk
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa segerea mzimuni

    kina ukubwa gani!
Back
Top Bottom