Natafuta gari ya thamani ya 5m (five milion)

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,482
589
Natafuta gari ya kununua ya thamani ya Tshs milioni tano, ambayo iko kwenye hali nzuri.

Nipo Singida
 

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,928
2,030
Mimi ninayo Corona, Premio iko kwenye hali nzuri sana. Kama uko interested tuongee biashara.Ila hapo kwenye 5 haishuki kwa sababu nilipaswa kuuza 6M.
 

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,482
589
Mimi ninayo Corona, Premio iko kwenye hali nzuri sana. Kama uko interested tuongee biashara.Ila hapo kwenye 5 haishuki kwa sababu nilipaswa kuuza 6M.

weka picha yake basi bro
 

georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,780
1,250
Njoo nikuuzie Toyota tarcel VX 80,000km, 5speed, dual airbag, antilock brake system,AC, stereoCD, PM,PW,PS,15k/liter town, 18-20km/liter/highway, 4doors,5seaters/ UV cut windows etc
 

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
102
Gx 100 auto 4doors nyeupe inatembea nahitaji m4 na nusu gali inatembea my simu ni 0713935738
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
38,723
30,622
Sasa nimeamini kweli ukihitaji kitu chochote hapa unakipata faster.