Recent content by NASOMBE

  1. N

    JamiiForums Tanzania Computer

    Naomba msaada kwanini nikisechi data kwenye Microsoft excel inakuja tofauti mfano nikisechi 2x inakuja x2
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ni file gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka na ukaziserch zikaja kama (contacts number)

    Naomba msaada nikisechi data kwenye file la excel inakuja tofauti na ninachokisech tatizo nini mfano nikisechi 2x/21 inakuja x2/21 nifanyaje
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma Computer Science ikiwa Mathematics nina F?

    Mfano nikisechi labda 2x inakuja x1 au x2
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma Computer Science ikiwa Mathematics nina F?

    Naomba msaada wadau kwanini nikiserch data kweny Microsoft excel inakuja tofauti na ninachokiserch
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, mjane wa marehemu anaweza kuendelea kupata asilimia fulani ya (pensheni)aliyokuwa anapokea marehemu?

    Naomba kuuliza mimi mzee wangu alikuwa mwalim shul ya msing ila amefariki na tulipata mirath je mjane naendelea kupokea pension au ile iliyoyolewa ndio basi?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ni file gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka na ukaziserch zikaja kama (contacts number)

    Nimejaribu kuclick ctrl A na ctrl F nikaandika jina la data ikaniandikia (we couldn't find what you were looking for. Click options for more ways to search.)
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ni file gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka na ukaziserch zikaja kama (contacts number)

    Kwaiy nyaraka zolizo kwenye excel unaweza ukaziseach kwa kutumia ile app ya seach everything
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ni file gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka na ukaziserch zikaja kama (contacts number)

    Naomba kuuljza ivi nyaraka zilizoseviwa kwenye Microsoft excel unaweza kusachi kupata nyaraka unayoitaji
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Ni file gani au app ambayo ni mzur kusave nyaraka na ukiserch unayoitaji inatokea kwa kutumia computer.kama lile la (contacts nimber)
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ni file gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka na ukaziserch zikaja kama (contacts number)

    Ok sasa nilikuw naulizia file au app ambayo nitatumia kuingiza hizo data na nikitumia iyo everything itatokea
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ni file gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka na ukaziserch zikaja kama (contacts number)

    Yaani mfano kama file la contacts unaweza ukasevu namba fulani na baadae ukaiserch ikatokea kwaiyo mi nilikuw nataka kama iyo
Back
Top Bottom