Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
The sum of four consecutive integers is -22. Find the integers.
 
Kwema wakuu.. naomben ushauli..mimi ni mwalimu nilisoma BACHELOR OF EDUCATION (BED.geography) natamani kusoma masters sasa sijui nisomee masters ya kitu gan naomben ushauri.
 
Wakuu kama tittle ya uzi inavyojieleza, uzi huu ni kwa ajili ya wanafunzi kuuliza maswali na kujibiwa lakini naona mmejisahau na kuanza kuingiza humu mambo mengine ambayo hayahusiani na masomo. Je, hii ni sawa?
 
Wakuu kama tittle ya uzi inavyojieleza, uzi huu ni kwa ajili ya wanafunzi kuuliza maswali na kujibiwa lakini naona mmejisahau na kuanza kuingiza humu mambo mengine ambayo hayahusiani na masomo. Je, hii ni sawa?
Kuna watu tu wanapenda kupindisha Mambo ila tu wasamehe tuu😁
 
Ndugu walimu tafadhali saidia mimi kutatua hizi hesabu:
1642773747057.png
 
Why did aficna still remain poor despites high technology advancement from outsider ..apart from most young men attain to higher college still the backwardness is high and confirm to be higher for some decade
 
Habar za mchana
Kama kuna mtu anaweza kuwa na package za a level question with answers kindly aje DM tuelewane asante sana
 
Hi!! Nimehitimu kidato Cha nne nipata IV-26 ..Kam ifuatavyo
Civic-C
History-C
Mathe-F
Kisw-C
Bios-D
English-D
Geogr-D
....hivi serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe.. Msaada
Yaani kwa uandishi huu ulitakiwa upate 0 kabisa
 
Back
Top Bottom