Recent content by nasih

  1. N

    CHADEMA, lengo la chama cha siasa si kushika dola, ni kushika mioyo ya wananchi walio wengi

    Chadema wana kazikubwa ya kukijenga chama na kuongeza wanachama badala yakuendekeza mapambano na vombo vya serikali. Pia kwa majimbo waliyoychukua wathibitishie wananchi kwamba wana uwezo na walete mabadiliko badala kupoteza muda mwingi kuendekeza malumbano na vombo vya dola namaandamano yasiyo...
  2. N

    7 Things Healthy People Do Every Morning

    Mie nadhani ingekuwa hivi 1. Pata glasiya maji 2. Piga mswaki 3.muombe mungu kwa kuamka salama 4. Fanya mazoezi 5 pumzika kidogo jasho lilauke 6. Koga 7.pata breakfast na tunda au juice 8. Panga ratiba ya siku andika kwenye diary yako 9. Fungua simu zako na Email zako 10. Tayari kwa kuondoka...
  3. N

    Tanzania ranked as the 8th most beautiful country in the WORLD!

    Hatujajua vigezo vilivyo tumika kuipa namba nane ya uzuri. Ni vizuri tukajua vigezo kwanza kabla ya kuanza kukandia .
  4. N

    Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Hoja yake bado kujibiwa. Kama juu ana umbo la binadamu anavutaje hewa? Anakula niini? Mbona taarifa zaokama sirifulani.
Back
Top Bottom