Recent content by Nashon daniel.

  1. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Pesa za Rushwa za kupitisha miswada bungeni zimepungua asema mbunge wa CCM

    Kumbe ndo ilikuwa style yao!
  2. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

    Au mgonjwa vipi...watuambia
  3. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Zaidi Ya Watumishi Hewa 17,100 Wafukuzwa Serikalini

    17100
  4. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na wazo la Freeman Mbowe la kufunga shule ya Ihungo

    Unaakili ndogo sana aisee
  5. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Charles Moremi: Kampeni za ubunge 2020 serengeti zimeanza?

    Acha uoga, tulia
  6. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    That's why tourists are flowing to our country, despite of our beautiful tourist attractions, we Tanzanians are amazing creatures tourists come to take a view of our stupidity.
  7. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Live Kutoka Leaders Club: Maandalizi ya Maandamano ya vijana watafuta Ajira 13.09.2016

    Watanzania kwakweli sasa tunaishi mapekezi ya jehanamu...hali ni ngumu kupita maelezo
  8. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Jogging ni mbinu ya kishetani kudhoofisha kanisa

    Mazoezi hueka mwili fiti, hayachishi mwili..we vipi bhana.. Ukilala na mke wako mkafanya mapenzi usiku kuamkia jpili, huchosha mwili zaidi ya mchakamchaka!
  9. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Lowassa aenda Kagera kuwajulia hali waathirika wa tetemeko!

    Mzee wa right time at right place..big brains
  10. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Fao la kujitoa mtihani wabunge wa CCM

    Umetema madini, safi sana
  11. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Fao la kujitoa mtihani wabunge wa CCM

    Kwahili nikotayari kuandamana, hata kufungwa maisha, pesa yangu kuitumia nisubiri hadi ntakapa fikisha miaka 60, typically nonsense!
  12. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Bora serikali ya kikoloni kuliko serikali ya awamu hii

    The time will tell. Hakuna marefu yasio na ncha!
  13. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Kutaka kujiunga na Saccos

    Habari Jf. Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa. Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa kiasi kuendeleza biashara yangu. Yeyote mwenye huwelewa juu ya taratibu za kujiunga saccos naomba msaada...
  14. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    _safari njema kajaribu kukiua hicho pia_
  15. Nashon daniel.

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    Padri yuko sawa , watumishi wa mungu wanapaswa kusimamia ukweli kama huyu padri
Back
Top Bottom