kuna mzee mmoja alikua anakunywa uji katika
mgahawa flani hivi,mara akafika mzungu na
kuagiza soda ya FANTA alipomaliza kunywa
akasema THIS IS VERY FANTASTIC.yule mzee
naye ili kuonesha amesoma na anajua kizungu,
alipomaliza uji wake akasema THIS IS VERY
UJISTIC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.