Infinix kuanzia Hot 8 iliyo kwenye hali nzuri. Kuna laki moja hapa (100,000) mfuko wa shati. Inalipiwa muda wowote ikipatikana...
Naomba mwenye nayo aseme.
Sawa mkuu usijali,Kwa tv mpya toleo hili ni parefu kidogo! Hata mtu ununue hii halafu urekebishe bado bei haiikuti ya mpya. So bado ni nafuu japo kila mtu ana uchaguzi wake
Kama picha zinavyoonekana wadau,hii TV inauzwa, ina ubovu.
Tatizo: Mtoto aliiangusha ikapiga 'kleksi'. Inawaka vizuri na kuonesha ila picha sio nzuri tena. Kwa mujibu wa mafundi inatengenezeka.
Brand ni SONY BRAVIA Inch 40.
Kutokana na ubovu huo, nimeona niiuze tu kwa bei ya Hasara ili kumwachia...
Kaka pole sana... Hii ni Changamoto hasa,unahitaji kifua na msaada wa Mwenyezi Mungu kupata mwongozo kwenye kulitatua hili. Watu wanalichukulia simple lakini huu mtihani, nakuomba chukua ushauri wenye manufaa humu ambao ni positive. Maana unaweza kuua hivi hivi mkagawana majengo bure
Ndo shida ya kwenda kwa Waganga wakuambie mume utakayeendana naye na sijui na kuanzia herufi fulani,na makorokoro kibao...
Vipi lakini ndoa inaendeleaje huko
Asante sana Kaka,hadi nilikuwa nimeshasahau kama niliwahi ku comment kuhusu hili.
Tiba nyingi bwana kwa watoto za haraka na effective ni za asili,tatizo la tiba za Asili tunakuwa hatujui Dozi. Ila ndo zenye matokeo ya haraka zaidi!!
Hata mtu mzima ukipata Constipation,naona mambo ya kumeza...
https://chat.whatsapp.com/BQLFJhzI7JrCaTBXBnkQ1S
[emoji3532]Bonyeza hii Link ikupeleke moja kwa moja Unyamani... Kwa wale wenye uhitaji na wapenda mijadala huru ya Soka hasa wewe Mwana Simba SC. Tukainjoi huko
1. 13 Hours: The Secret soldiers of Benghazi.
2. 12 Strong
3. Attack on Dafur
4. London Has Fallen
5. Hills have an eyes
6. Operation Red Sea
7. 21 Bridges
8. Black Hawk Down
Zinatosha...Hutajuta! Ila pia vumilia kuangalia maana kama una roho ya huruma utazima TV hasa hiyo ya 3 na 8
Sent using...
Namba 2 hadi tano bado vipo Mkuu...wengi wanaovitaka wanakuwa wapo mbali na Dar.
Waiting Chair,Meza,Phone's Accessories,Pegs nk bado vipo!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.