Duuuh.. nisaidieni kwanza hili.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kutoka wilaya ya Lindi vijijini kama wewe ni mwalimu unataka kubadili kituo mimi nipo Lindi vijijini na anayetaka kuja huku naomba kubadilishana nae ila iwe ni kutoka wilaya ya Muheza, Mkinga, Korogwe, Tanga, Kibaha, chalinze...