Kwanini iwe ni Magufuli kwenda Ikulu??

Kwanini iwe ni Magufuli kwenda Ikulu??

nasa joan

Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
19
Reaction score
8
Magufuli anauwezo mkubwa kuliko lowasa
Katika utendaji na maamuzi

Magufuli ana afya na ni nikijana zaidi ya lowasa hivyo utendaji wake wa kazi utakua ni mzuri zaidi kuliko lowasa

Magufuli hana scandle yoyote bali yalikuwa ni utekelezaji wa kazi zake

Magufuli anaouwezo mkubwa wa kubadilisha kwani anauwezo wa maamuzi magumu na sahihi kuliko lowasa

Magufuli kuitumikia nchi kwa uadilifu kwake ni rahisi zaidi kwani hana madeni ya kumlipa mtu yoyote atakapokuwa madarakani tofaiti na lowasa

Magufuli hana makundi kama lowasa hivyo kufikiri kwake na maamuzi yake yatakuwa hayana shinikizo lolote kutoka upande mwingine

Magufuli ni mwanasayansi hivyo uwezo wa kufufua uchumi wetu, elimu,afya, makazi,ajira,usafirishaji kwa kuwa anayafahamu matatizo yote kwa undani zaidi

Uwezo wa akili wa kufikiri wa Magufuli ni zaidi ya lowasa kwani hana skendo na madeni ya kumtia presha

Magufuli sio mwanasiasa wala mfanya biashara bali ni mtendaji mzuri hivyo anaouwezo wa kubadili zaidi kuliko lowasa

Swala la kusema eti ccm imechoka halina mantiki yoyote kwani kubadili kitu haijalishi ulipoteza kwa muda gani bali ni uwezo na umakini wa kiongozi mahiri muadilifu mwenye nia ya dhati ambapo Magufuli anao huo uwezo wa kutosha kuliko lowasa
 
Hatuhitaji marais wasanii tena,El alitudanganya na kutupa matumaini kwa kujaza watu kwenye mikutano ya ccm 2005 wakashindwa kudeliver sasa hivi kahamia mkono wa kushoto,sura ile ile,roho ileile mtu yule yule aliyrtufikisha hapa anajiita mkombozi. tunataka magufuli hakua rafiki yenu toka 2005.Mungu ametuletea
 
Eti magufuli hana skendo ilikuwa utekelezaji! Una akili kweli ww au boga maji Kwani unaweza kupata skendo bila kufanya au kutekeleza kitu.,skendo inakuja pale unapofanya kitu kwa ulaghai,utapeli
 
Of course hilo linajulikana we need him more than anyone.. mtu pekee ambaye angeweza kufanya nijishauri mara mbili kura yangu iende upande gani ni Dr Slaa.
 
Duh kumbe nimekosea nimeingia kwenye thread ya chama cha wanyanganyi ...am out
 
Back
Top Bottom