Recent content by NAS THE GREAT

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je walimu wamegoma?

    Nipo kiomboi iramba,huku mgomo kama kawa! walimu wa k'bomani,shelui,misigiri,chemchem,ibaga,nduguti,lugongo n.k wamegoma
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kigogo mwingine wa CCM ahamia CHADEMA

    Karibu sana,enenda zako na usitende dhambi tena!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    Jamani hii kwa wanamageuzi km mimi ni hasara,naomba mh.lissu ona hilo pa1 na uongozi wa juu wa CDM.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa waziri mkuu baada ya Pinda?

    Pendekezo langu tuunde mseto na Tundu Lissu ndo awe PM hapo nidhamu itarudi kwa nchi hii.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

    Jamani tuzidi kufahamishana ya huko bungeni,kunani?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

    Hivi huyu Ester Bulaya ni nani? mbona ahaharibu cv zake zote.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

    Singida waoga bt nahisi tungekuwa kama Lissu(chadema)tungekuwa mbali.one day yet!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

    Du! afadhali yake alikimbia,inaonesha alisoma alama za nyakati mapema.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mara waahidi kuwafukuza wabunge wao isipokuwa..

    Hongera wapiga kura wa mara,mikoa mingine igeni mfano huo.Hii inaonesha ccm haiwezi kusoma alama za nyakati.
Back
Top Bottom