Recent content by Narekeremo

  1. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

    Hii ndo maana hata mpina wamemuzuia kimkakati
  2. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Mjuaji Vs Mtaalam

    Mjuaji kwa lugha iliyoko kitaa kwa sasa huyu ni CHAWA.
  3. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia CHADEMA itashiriki uchaguzi mkuu 2025, mabadiliko kufanyika. LISSU alitumia Mbinu ya kung'oa magugu ili abakishe Ngano

    Binafsi sijaelewa hii issue hebu mleta uzi funguka tukuelewe wadau.
  4. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Hii yanga ni kivutio tosha cha soka letu hapa nchini inatoa burudani kwa kuitazama huchoki.
  5. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Hahaahaaaaaaaa hii Yanga imebaki kufungwa na mahakama tu .
  6. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

    Hahahhaaaaaaa hawa watu vichwa vyao bado vimetengana na ufahamu kwa tukio la majuzi kati si wakuwasikiliza.
  7. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Yaani kwa mtoto wa kike akisha jua tu kuishika na kuielekezako tayari kichwa huwa kama kimejaziwa bando la mwaka hashikiki wala haambiliki utamaliza viatu tu mkuu huyo kashakua mwenzio.
  8. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

    Hiyo aibu utaipata wewe Aziza
  9. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

    Upi mchango wako kwenye timu mkuu?
  10. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Yanga timu mbovu haiwezi kushinda bila timu pinzani kupewa kadi nyekundu. Simba timu bora imeshinda bila nyekundu

    Mc Alger nayo ya wapi hii au hii timu iko kwenye kundi lenu sisi hatuna timu ya namna hiyo ujue nyie makolo na akili zenu mnazijua wenyewe tu.
  11. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Maana Aterta kifafa chake kishamuanza mapema.
  12. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hii timu itaharibu radha ya EPL kabisa maana dalili za msimu huu Pep kombe analitaka tena.
  13. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

    Naungana na Wanaigeria wanao ipa ushindi Yanga African
  14. Narekeremo

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

    ITAMBUE ASILI YA KUZALIWA KWAKO INAWEZA IKAWA CHANZO CHA TATIZO LAKO. EZEKIEL 16:1-5. Somo hili limesaidia wengi na kuwabadilisha toka kwenye asili ya tabia mbalimbali walizorithi.
Back
Top Bottom