Recent content by NAPITA TUU

  1. N

    JamiiForums Tanzania CCM Lumumba kwachafuka, Vigogo wa UVCCM watimuliwa kwa ufisadi

    awatumbue tuu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tigopesa hii si haki

    huo sio wizi.hiyo ni biashara.unahaki ya kuamua upewe huduma au usipewe.kwaiyo msiseme tigo waizi semeni garama za tigo ni ghali.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete baba tunakukumbuka na tunazidi kukukumbuka

    binafsi namuombea maisha marefu.sikujua mazuri yake kipind kile.ila baada ya kuondoka tu.nikajua kumbe tanzania ilikua na mtu mzuri sana ila wataalam na wachumi wakatumia upole wake kujinufaisha badala ya kunufaisha taifa.i miss jk
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tigopesa hii si haki

    kama unaona ni gali kapange foleni.hii ni biashara huria ndg.kuna watu wapo kw ajili ya kufanikisha hii huduma unafikiri watalipwa je?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya viwanja Dodoma yapaa

    ni kweli mkuu.binafs nimesha faidika na frusa hiyo.huku dodoma kuna jampuni moja inaitwa peages inausika na upimaji wa viwanja na bei zake ni mafuu sana ukilinganisha na za cda. tena unalipa kidogo kidogo ndani ya miaka miwili.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya sukari nchini yashuka kwa Sh,1500

    hixo siasa.sukari ni 2500
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumwazimisha mtu gari ni hatari, nimekoma

    duh! mkuu vp niazime na mimi bas jumapili nina kwenda morogoro nikirud nitakutoa mkuu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli usije kutuambia mlininukuu vibaya 2020!!

    yangu macho
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Rais Magufuli uwanja wa Furahisha Mwanza

    kazi ipo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Rais Magufuli uwanja wa Furahisha Mwanza

    [emoji15] sio2 tena!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu

    kwa nionavyo mimi bado sijaona raisi zaidi ya kikwete ktk nchi hii. najua wengi mta hamaki lakini huo ndio ukweli.kikwete ni kiongozi bora ila alikosa washauri. i miss you j.m.k.mungu akupe maisha marefu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tunaweza kuingia kwenye machafuko kama yale ya Rwanda

    hata ya madawati huioni baba?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuelekea kuwa jiji. Je, ni faida kwa wajasiriamali au ni kilio?

    hamsini ni mbali sana.labda 20 mkuu
Back
Top Bottom