asanten sana kwa ushauri wenu juu ya unnuzi wa hisa,
wadau,mi nina swali,hivi ulishawahi kujiuliza kwanini majority of tanzanians ni maskini?kwa mtazamo wangu nilijijibu hivi,most of the tanzanians depends on employees rather that self-employment and investment ,and this is due to many reasons...